Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
Ndo maana yakeKumbe vyombo vya dola vinawateka watu pia?
Ndo maana yakeKumbe vyombo vya dola vinawateka watu pia?
Ku.mbe wanaogopa ICC The hagua. Kijana ICC uliwaacha mlangoni ukakimbilia Dodoma ukirudi utawakuta home.Wakuu,
Wimbi la wanasiasa kutetea watekaji linaendelea!
================================================
Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida amebainisha kuwa sio kila mtu anayetekwa ametekwa na vyombo vya dola.
"Niendelee kusisitiza kwamba siyo kila anayetekwa, Siyo kila anayekufa ametekwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na lazima mantiki hii tuiondoe na nitoe wito kwa Vyombo vya ulinzi na usalama kutafuta ukweli wa mtu ameenda wapi, amepotelea wapi na wanapopata hizi taarifa wasikae nazo kama vyombo vya dola,
Umma unatamani kujua nini kilichotokea kwa mtu husika kwasababu kuna watu wanatumia hii kama fursa, wapo watu wana magomvi yao, akimuua mwenzake anasema kauliwa na dola - Hapana, sio kila aliyepotea amepotezwa na Vyombo vya dola."
Acha kujirusha ufahamu.Kweli
Serikali ikikuhutaji inakukamata wala hawana haja ya kukuteka. Hawa wanaotekwa,
Wapo wanaotekwa na watu wao wa karibu
Wapo wanaotekwa na washirika wao
Wapo wanaotekwa na Vibaka
Serikali ina mambo mengi ya kufanya ikiwa ni pamoja na kuzuia utekaji na kushughulikia watekanji na sio kuteka watu
Mimi au wewe??Acha kujirusha ufahamu.
Nitumie namba yako nije huko Tabata kukutoa stress.Mimi au wewe??
UtataSasa tunaomba atufafanulie kati ya hao 80+ Vyombo vya dola vimeteka na kuua wangapi?!
Stress nazipatia wapiNitumie namba yako nije huko Tabata kukutoa stress.
Ni wangapi wametekwa na dollar?Wakuu,
Wimbi la wanasiasa kutetea watekaji linaendelea!
================================================
Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida amebainisha kuwa sio kila mtu anayetekwa ametekwa na vyombo vya dola.
"Niendelee kusisitiza kwamba siyo kila anayetekwa, Siyo kila anayekufa ametekwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na lazima mantiki hii tuiondoe na nitoe wito kwa Vyombo vya ulinzi na usalama kutafuta ukweli wa mtu ameenda wapi, amepotelea wapi na wanapopata hizi taarifa wasikae nazo kama vyombo vya dola,
Umma unatamani kujua nini kilichotokea kwa mtu husika kwasababu kuna watu wanatumia hii kama fursa, wapo watu wana magomvi yao, akimuua mwenzake anasema kauliwa na dola - Hapana, sio kila aliyepotea amepotezwa na Vyombo vya dola."
Huwezi kusapoti wanawake wenzio kubakwa kwa amri ya Samia.Stress nazipatia wapi
Huku rahaaa tuu
Huwezi kusapoti wanawake wenzio kubakwa kwa amri ya Samia.
AgathaMwanamke gani kabakwa
ni nawa kabisa.lakini ni vyema kuwa mnatoa taarifa kuliko kukaa kimya.ukimya unatafsiriwa kwamba ni vyombO Vya dola.kumbuka kuwa wale watekaji wanajitambulisha kuwa wao ni afisa wa police.sasa hapa police wanakuwa washutumiwa wa kwanza.kwani ukisema kuwa siyo wewe unapoteza nini?Wakuu,
Wimbi la wanasiasa kutetea watekaji linaendelea!
================================================
Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida amebainisha kuwa sio kila mtu anayetekwa ametekwa na vyombo vya dola.
"Niendelee kusisitiza kwamba siyo kila anayetekwa, Siyo kila anayekufa ametekwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na lazima mantiki hii tuiondoe na nitoe wito kwa Vyombo vya ulinzi na usalama kutafuta ukweli wa mtu ameenda wapi, amepotelea wapi na wanapopata hizi taarifa wasikae nazo kama vyombo vya dola,
Umma unatamani kujua nini kilichotokea kwa mtu husika kwasababu kuna watu wanatumia hii kama fursa, wapo watu wana magomvi yao, akimuua mwenzake anasema kauliwa na dola - Hapana, sio kila aliyepotea amepotezwa na Vyombo vya dola."
Hii ni kweli kabisa, mtu hutetea panapomnufaiha hata kama anajua haki haitendeki upande wa pili
Umeongea kwa hisia sana naiona nchi ikielekea kubaya mno ile amani tuliyokuwa tunaiimba soon inapotea watu wana hasira wasubili waoneJambo la kitaifa usiligeuze la binafsi kudili nalo mkuu.
Kusema dunia itajua, kweli itajua umekufa na siyo dunia ni Tz na siyo Tz ni mkoa na siyo mkoa ni kijiji na siyo kijiji kizima ni Nzengo(jamii iliyokuzunguka)tu!
Kusema utashindana nao hata kwa kurusha ngumi huwezi.
Wakikuvamia ukasema 'toeni vitambulisho', wanatoa na kuvishuhudia kuwa ni vya idara ya Polisi.
Ama wanakuuliza: 'unataka kuwafundisha kazi huku ukizabuliwa kibao mbele ya mkeo kukulegeza.'
Kama kuna mazingira ya raia kuzagaa maeneo hayo kushangaa kinachoendelea na mkadai mpaka awepo balozi ama mwenyekiti, atafuatwa na watajitambulisha dhahiri kuwa wao ni Polisi wamekufuata kwa tuhuma watakazozitaja.
Balozi hana mandate ya kuwazuia Polisi, utakwenda, ukishaondoka ndo'kantolee na hakuna mtu nyuma yako atakayesema 'fyokoo'.
Wakija kihuni ukawadhuru, baadaye watajitambulisha kuwa wao ni Polisi na ulikuwa umewazuia kufanya kazi zao(rejea sakata la Zakaria wa Tarime
aliyepambana nao na kuwapiga risasi walipoenda kumteka).
Jambo hili ni la kitaifa, tusimame pamoja kama wananchi kwa umoja wetu tupigie kekele na kukataa wazi wazi ubazazi huu unaofanywa na Serikali.
Mtu mmoja peke yako hauwezi kusimama na kudai unauwezo wa kupinga kubebwa, hauna uwezo huo, utabebwa na kwenda kufanywa chochote na hakuna atakayefanya lolote.
Ukijipa mamlaka ya kuisemea Serikali bila idhini Yao unaweza jikuta unaropoka na kuiharibia SerikaliMBONA KAMA TOBA HII.
Huyu jamaa kweli ni wa kawaida kama lilivyo jina lake.Anamaanisha serikali inateka watu japo sio wote wanaotekwa wanatekwa kweli na serikali. Kama amesema hayo basi wameanza kuchanganyikiwa.