ila wapo wanaopotea kwa kutekwa na vyombo vya dola?Wakuu,
Wimbi la wanasiasa kutetea watekaji linaendelea!
================================================
Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida amebainisha kuwa sio kila mtu anayetekwa ametekwa na vyombo vya dola.
"Niendelee kusisitiza kwamba siyo kila anayetekwa, Siyo kila anayekufa ametekwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na lazima mantiki hii tuiondoe na nitoe wito kwa Vyombo vya ulinzi na usalama kutafuta ukweli wa mtu ameenda wapi, amepotelea wapi na wanapopata hizi taarifa wasikae nazo kama vyombo vya dola,
Umma unatamani kujua nini kilichotokea kwa mtu husika kwasababu kuna watu wanatumia hii kama fursa, wapo watu wana magomvi yao, akimuua mwenzake anasema kauliwa na dola - Hapana, sio kila aliyepotea amepotezwa na Vyombo vya dola."
Wakuu,

Jambo la kitaifa usiligeuze la binafsi kudili nalo mkuu.kumbe wanapenda muda wote watu kuongelea utekaji! sio kitu cha kujivunia hata kidogo!
mie nasema asje akakanyaga mtu kwangu! Dunia itajua shughuli yake
Hao watu 80 wote wametekwa na watu wasiojulikana na ambao hujitambulisha polisi,wewe na Sativa nani mwenye ushahidi kamili?Wakuu,
Wimbi la wanasiasa kutetea watekaji linaendelea!
================================================
Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida amebainisha kuwa sio kila mtu anayetekwa ametekwa na vyombo vya dola.
"Niendelee kusisitiza kwamba siyo kila anayetekwa, Siyo kila anayekufa ametekwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na lazima mantiki hii tuiondoe na nitoe wito kwa Vyombo vya ulinzi na usalama kutafuta ukweli wa mtu ameenda wapi, amepotelea wapi na wanapopata hizi taarifa wasikae nazo kama vyombo vya dola,
Umma unatamani kujua nini kilichotokea kwa mtu husika kwasababu kuna watu wanatumia hii kama fursa, wapo watu wana magomvi yao, akimuua mwenzake anasema kauliwa na dola - Hapana, sio kila aliyepotea amepotezwa na Vyombo vya dola."
So ni kweli vyombo vya dola huteka ila si kila...Wakuu,

Sasa tunaomba atufafanulie kati ya hao 80+ Vyombo vya dola vimeteka na kuua wangapi?!"sio wote....."
Wanaopotea ni wale wa upinzani pekee...Wakuu,