PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Ali Kawaida: Sio kila anayepotea, katekwa na vyombo vya dola!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ku.mbe wanaogopa ICC The hagua. Kijana ICC uliwaacha mlangoni ukakimbilia Dodoma ukirudi utawakuta home.
 
Acha kujirusha ufahamu.
 
Baadhi serikali na baadhi ni jamii wenyewe.Sasa wafanye tathmini tujue wengi wapo upande gani?.
 
Ni kweli kabisa sio kila anayetekwa anatekwa na dola

Ila elimu ni muhimu sana kwani hii statement inaleta ukakasi sana alitakiwa angalau aseme dola haiteki watu
 
Ni wangapi wametekwa na dollar?
 
Anamsisitiza nani?..hiki kizazi cha sasa kina watoto wapumbavu sana.....CCM ijitathimini sana....
 
Huwezi kusapoti wanawake wenzio kubakwa kwa amri ya Samia.

Mwanamke gani kabakwa? Mkeo???
Wewe endelea kusherekea wanaume wenzio kugeuzwa mabwabwa kwa utetezi wa tundu
 
ni nawa kabisa.lakini ni vyema kuwa mnatoa taarifa kuliko kukaa kimya.ukimya unatafsiriwa kwamba ni vyombO Vya dola.kumbuka kuwa wale watekaji wanajitambulisha kuwa wao ni afisa wa police.sasa hapa police wanakuwa washutumiwa wa kwanza.kwani ukisema kuwa siyo wewe unapoteza nini?
 
Umeongea kwa hisia sana naiona nchi ikielekea kubaya mno ile amani tuliyokuwa tunaiimba soon inapotea watu wana hasira wasubili waone
 
CCM wapende wasipende wamevuliwa nguo hadharani ndio maana wanajitahidi kuficha uchi wao kwa propaganda.
 
Anamaanisha serikali inateka watu japo sio wote wanaotekwa wanatekwa kweli na serikali. Kama amesema hayo basi wameanza kuchanganyikiwa.
Huyu jamaa kweli ni wa kawaida kama lilivyo jina lake.

Hizi hoja zitakuja kuwaumbua siku za mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…