Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammedi Kawaida akiwa amebeba Jeneza lenye Mwili wa Michael Kalinga


"Roho za ushetani, waliojaa ushetani wao."

Kuna mtu alisikika akisema kifo ni kifo msotuzingue....mwingine akasikika naomba Mwenyezi Mungu usinichukue sasa nina kazi kubwa sijamaliza kufanya.

Na familia ya Marehemu Kibao wanalia nani amemuua baba yetu haki itendeke.

Na sisi wengine sijui tunasemaje, ila tunashangaa
 
Hiyo bendera watamzika nayo ndugu mwandishi?
 
Tanzania taifa langu nasikitika sana, aliwahi kusema mtu fulani kuwa "wakimaliza kutushugulikia, watashughulikiana wenyewe" Zingatia hii kauli alafu tafakari sana wewe mtanzania
 
UVCCM Mke wa mtu ni Sumu!!
 
Kwenye hilo jeneza ilitakiwa ndani yake uwepo mwili wako wewe. Huna faida yoyote hapa duniani.
 
Hahaha Wadanganyika wana huzuni sana mwana CCM kufwariki. Hivi linawezekan kweli nchi hii?
 
Kwani lini umeona nikitukana mtu matusi humu jukwaani? Uwe na adabu hata kama umekosa malezi mazuri ya wazazi wako.
Kifo ni kifo tu na hujaonesha kiguswa na kifo Cha kinyama Cha Mzee kibao Ila unaandika insha kwa kifo Cha kada..halafu unasema itikadi zisitugawe wakati wewe ni mgawaji wa watu Kwa itikadi! Wewe ni sadist
 
Kwa pamoja tukemee mauaji ya watu wasio na hatia
 
Kifo ni kifo tu na hujaonesha kiguswa na kifo Cha kinyama Cha Mzee kibao Ila unaandika insha kwa kifo Cha kada..halafu unasema itikadi zisitugawe wakati wewe ni mgawaji wa watu Kwa itikadi! Wewe ni sadist
Mimi naguswa na vifo vya watu wote wanao uwawa bila hatia .ndio maana nasema tukemee na kulaani vitendo hivyo na kulitaka jeshi la polisi kuwasaka waliohusika.huku sisi watanzania tukitoa ushirikiano kwa jeshi letu.
 
Wenyewe kwa wenyewe hii
 
Naiona win-win situation inakuja kwa mbaliiii
 
Mwenyekiti huyo wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Ameweza kubeba Mabegani pake Jeneza Lenye Mwili wa Marehemu Michael Kalinga ambaye kwa sasa Ametangulia Mbele za Haki.
Huku akibubujikwa machozi yaliyojaza kikombe cha chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…