Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Another [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Hii hasara kubwa kweli kweli, tuzo inaombwa kweli? CCM mnakwama wapi kuwa na viongozi vilaza kama huyo Maria? Sura imemshuka kama ametoka kutoa mimba .
Chawa Anatafuta Sehemu Ya Kuchoma Mrija Aanze Kunyonya Damu TaratibuUchawa mtupu.
Viongozi wanategemea machawa siyo uwezo wa kuongoza bali watakaowasifia
Huyo Mwenyekiti Ni mshenzi tuu