Mwenyekiti wa Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO), Joseph Paulo Kaheza, amepewa dhamana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita baada ya kushikiliwa kwa upelelezi kuhusu ushiriki wake katika jumuiya hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na NETO tarehe 25 Februari 2025, Kaheza alikamatwa mnamo 24 Februari 2025 na baadaye kuachiwa kwa dhamana huku uchunguzi ukiendelea.
NETO imeishukuru jamii ya wanasheria, mashirika ya haki za binadamu kama THRDC na TLS, pamoja na vyombo vya habari na watu wote waliounga mkono juhudi za kuhakikisha kiongozi wao anaachiwa.
Aidha, NETO imesisitiza kuwa si chama cha siasa na hakihusiani na migomo yoyote, bali ni jukwaa la walimu wasio na ajira kushirikiana kupitia mitandao ya kijamii. Umoja huo umesisitiza kwamba utaendelea kuishinikiza serikali kutoa ajira kwa walimu waliomaliza mafunzo yao kati ya mwaka 2015 na 2023, kutokana na uhitaji mkubwa wa walimu mashuleni.
Pambaneni Vijana kudai haki yenu. Haki haiombwi inadaiwa. Kuna gharama kubwa sana kujitoa mhanga kwa ajili ya wengi. Msiogope songeni mbele, hii nchi ni yetu sote
Mwenyekiti wa Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO), Joseph Paulo Kaheza, amepewa dhamana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita baada ya kushikiliwa kwa upelelezi kuhusu ushiriki wake katika jumuiya hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na NETO tarehe 25 Februari 2025, Kaheza alikamatwa mnamo 24 Februari 2025 na baadaye kuachiwa kwa dhamana huku uchunguzi ukiendelea.
NETO imeishukuru jamii ya wanasheria, mashirika ya haki za binadamu kama THRDC na TLS, pamoja na vyombo vya habari na watu wote waliounga mkono juhudi za kuhakikisha kiongozi wao anaachiwa.
Aidha, NETO imesisitiza kuwa si chama cha siasa na hakihusiani na migomo yoyote, bali ni jukwaa la walimu wasio na ajira kushirikiana kupitia mitandao ya kijamii. Umoja huo umesisitiza kwamba utaendelea kuishinikiza serikali kutoa ajira kwa walimu waliomaliza mafunzo yao kati ya mwaka 2015 na 2023, kutokana na uhitaji mkubwa wa walimu mashuleni.
"Tuna matumaini kuwa maombi yetu yatafanyiwa kazi kwa wakati," amesema Daniel Edgar Mkinga, Katibu Mkuu wa NETO, akihitimisha taarifa hiyo.
Hawa NETO ni MATOKEO ya elimu mbovu tuliyo nayo ukweli mchungu ni kwamba zaidi ya 90,% ya kada ya ualimu hawakuandaliwa kiushindani katika soko la ajira. Leo wanaona wanaonewa wakati Kuna maelf ya watu wamesoma HR, Gas engineering, petroleum engineering, socialogy nk wako mtaani wanapambana kila siku na bahasha BILA mafanikio.
ENDAPO SERIKALI itakubali KUWEPO Kwa VIKUNDI hivi visivyo Rasmi ni SWALA LA muda vitaanza kutumika kiuanaharakati na madhara yake ni MAKUBWA.
Lazima ifike mahali tukubali haipo SERIKALI inayoweza kumudu ajira Kwa 100%, HAIPO. kujifanya wao ni muhimu sana Kwa JAMII sio sawa. Zipo kada nyingi zinastrugle kila kukicha na hawajaonesha mihemko hii ya kutoka misuli wakati WA kuongea....
Emagine KATIBU ni mwalimu anamfundisha mwanao shuleni. Private sekta usaili Kwa mwalimu ni kawaida kabisaaaaa Kwa sababu Wanataka kilichobora.
Na hawatafikia LENGO lao Kwa sababu SERIKALI haiwezi kuwaajiri WOTE... HAIWEZI HATA ARDHI IPASUKE HUU NDO UKWELII.

acha wehu ushindani wa ajira upi sasa hapo mtihan usio na kigezo sahihi cha ufaulu wanachukua chukua tu, alama ya ufaulu 50 kwa kiswahili wamedai 70 lakin wapo walopata 70 na hawajachukua pilu kulikuwa na gaja gan kuita watu wengi na nafasi ni chache, kwa kawaida kuna ufaulu gani ambao waliofaulu namba zao zipo kwa series na waliofel hivy hvy yaan nmfano namba 1- 100 wamefaulu 101 na kuendelea wamefieli t .Hivyo inamaana waso na sifa namba zao zimepangwa . Mwisho usaili wa biology hujafanyika na kuna mtu kaajiriwa.

acha wehu ushindani wa ajira upi sasa hapo mtihan usio na kigezo sahihi cha ufaulu wanachukua chukua tu, alama ya ufaulu 50 kwa kiswahili wamedai 70 lakin wapo walopata 70 na hawajachukua pilu kulikuwa na gaja gan kuita watu wengi na nafasi ni chache, kwa kawaida kuna ufaulu gani ambao waliofaulu namba zao zipo kwa series na waliofel hivy hvy yaan nmfano namba 1- 100 wamefaulu 101 na kuendelea wamefieli t .Hivyo inamaana waso na sifa namba zao zimepangwa . Mwisho usaili wa biology kabla hujafanyika na kuna mtu kaajiriwa