Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti wa Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO), Joseph Paulo Kaheza, amepewa dhamana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita baada ya kushikiliwa kwa upelelezi kuhusu ushiriki wake katika jumuiya hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na NETO tarehe 25 Februari 2025, Kaheza alikamatwa mnamo 24 Februari 2025 na baadaye kuachiwa kwa dhamana huku uchunguzi ukiendelea.
NETO imeishukuru jamii ya wanasheria, mashirika ya haki za binadamu kama THRDC na TLS, pamoja na vyombo vya habari na watu wote waliounga mkono juhudi za kuhakikisha kiongozi wao anaachiwa.
Aidha, NETO imesisitiza kuwa si chama cha siasa na hakihusiani na migomo yoyote, bali ni jukwaa la walimu wasio na ajira kushirikiana kupitia mitandao ya kijamii. Umoja huo umesisitiza kwamba utaendelea kuishinikiza serikali kutoa ajira kwa walimu waliomaliza mafunzo yao kati ya mwaka 2015 na 2023, kutokana na uhitaji mkubwa wa walimu mashuleni.
"Tuna matumaini kuwa maombi yetu yatafanyiwa kazi kwa wakati," amesema Daniel Edgar Mkinga, Katibu Mkuu wa NETO, akihitimisha taarifa hiyo.
Ujumbe kutoka kwa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC)
View attachment 3249412
Mwanao naye atasomea ualimu,atakumbana na kukosa ajira
Usichokijua kuhusu interview za walimu serikalini ni tofauti na hizo nyingineHawa NETO ni MATOKEO ya elimu mbovu tuliyo nayo ukweli mchungu ni kwamba zaidi ya 90,% ya kada ya ualimu hawakuandaliwa kiushindani katika soko la ajira. Leo wanaona wanaonewa wakati Kuna maelf ya watu wamesoma HR, Gas engineering, petroleum engineering, socialogy nk wako mtaani wanapambana kila siku na bahasha BILA mafanikio.
ENDAPO SERIKALI itakubali KUWEPO Kwa VIKUNDI hivi visivyo Rasmi ni SWALA LA muda vitaanza kutumika kiuanaharakati na madhara yake ni MAKUBWA.
Lazima ifike mahali tukubali haipo SERIKALI inayoweza kumudu ajira Kwa 100%, HAIPO. kujifanya wao ni muhimu sana Kwa JAMII sio sawa. Zipo kada nyingi zinastrugle kila kukicha na hawajaonesha mihemko hii ya kutoka misuli wakati WA kuongea....
Emagine KATIBU ni mwalimu anamfundisha mwanao shuleni. Private sekta usaili Kwa mwalimu ni kawaida kabisaaaaa Kwa sababu Wanataka kilichobora.
Na hawatafikia LENGO lao Kwa sababu SERIKALI haiwezi kuwaajiri WOTE... HAIWEZI HATA ARDHI IPASUKE HUU NDO UKWELII.
naongozwa na akili mdogo Sana kama mawazo yako yameishia hapa. Maana waliowengi wanaoshabikia udhalimu huu ni wanufaika wa mfumo mbovu wa Ma CCM.Hawa NETO ni MATOKEO ya elimu mbovu tuliyo nayo ukweli mchungu ni kwamba zaidi ya 90,% ya kada ya ualimu hawakuandaliwa kiushindani katika soko la ajira. Leo wanaona wanaonewa wakati Kuna maelf ya watu wamesoma HR, Gas engineering, petroleum engineering, socialogy nk wako mtaani wanapambana kila siku na bahasha BILA mafanikio.
ENDAPO SERIKALI itakubali KUWEPO Kwa VIKUNDI hivi visivyo Rasmi ni SWALA LA muda vitaanza kutumika kiuanaharakati na madhara yake ni MAKUBWA.
Lazima ifike mahali tukubali haipo SERIKALI inayoweza kumudu ajira Kwa 100%, HAIPO. kujifanya wao ni muhimu sana Kwa JAMII sio sawa. Zipo kada nyingi zinastrugle kila kukicha na hawajaonesha mihemko hii ya kutoka misuli wakati WA kuongea....
Emagine KATIBU ni mwalimu anamfundisha mwanao shuleni. Private sekta usaili Kwa mwalimu ni kawaida kabisaaaaa Kwa sababu Wanataka kilichobora.
Na hawatafikia LENGO lao Kwa sababu SERIKALI haiwezi kuwaajiri WOTE... HAIWEZI HATA ARDHI IPASUKE HUU NDO UKWELII.
TUNAKATAA UHUNI NA UBABAISHAJI KWENYE INTERVIEW.Hawa NETO ni MATOKEO ya elimu mbovu tuliyo nayo ukweli mchungu ni kwamba zaidi ya 90,% ya kada ya ualimu hawakuandaliwa kiushindani katika soko la ajira. Leo wanaona wanaonewa wakati Kuna maelf ya watu wamesoma HR, Gas engineering, petroleum engineering, socialogy nk wako mtaani wanapambana kila siku na bahasha BILA mafanikio.
ENDAPO SERIKALI itakubali KUWEPO Kwa VIKUNDI hivi visivyo Rasmi ni SWALA LA muda vitaanza kutumika kiuanaharakati na madhara yake ni MAKUBWA.
Lazima ifike mahali tukubali haipo SERIKALI inayoweza kumudu ajira Kwa 100%, HAIPO. kujifanya wao ni muhimu sana Kwa JAMII sio sawa. Zipo kada nyingi zinastrugle kila kukicha na hawajaonesha mihemko hii ya kutoka misuli wakati WA kuongea....
Emagine KATIBU ni mwalimu anamfundisha mwanao shuleni. Private sekta usaili Kwa mwalimu ni kawaida kabisaaaaa Kwa sababu Wanataka kilichobora.
Na hawatafikia LENGO lao Kwa sababu SERIKALI haiwezi kuwaajiri WOTE... HAIWEZI HATA ARDHI IPASUKE HUU NDO UKWELII.
ok ngoja nitafute matokeo nitumeEmbu toa ushahidi wa hao wenye serial numbers zinazofatana
Nasubiriok ngoja nitafute matokeo nitume
angalia matokeo ya mchujo kiswahili utaona, mm nimefutaNasubiri
Waliopita wamewezaje?Usichokijua kuhusu interview za walimu serikalini ni tofauti na hizo nyingine
Interview za walimu private zipo clear kabisa mtu anaenda kupiga Pepa lineshiba nondo za advance pamoja na kufundisha ila interview hizi za serikali zina changamoto kubwa
Mtu unaenda kwenye interview hujui hata coverage ya interview: O level, advance na chuo
Halafu maswali multiple choice 25 written, kuanzia O level hadi chuo
Oral hivyo hivyo
Mimi nilipiga msuli wa chemistry O level na advance sikukuta swali hata moja na likatoka kwenye oral swali la chemistry ya chuo
Kwenye Bios nikasema nisisome contents za somo nipige course za education, mambo yakabadilika wakauliza huko huko kwenye written na oral na ukizngua maswali 3 au 4 ya written unaliwa
NB
Hata wewe ukifanyishwa interview kuanzia O level, advance hadi chuo lazima itakuwa ngumu tu
Isitoshe watu wanafanya shughuli zao za mtaani washaacha habari za kufundisha au kujitolea
INTERVIEW ni muhimu ila hizi hazipimi uhalisia wa mwalimu bora
Waliopita wamewezaje?
okok ngoja nitafute matokeo nitume
Haki yao ya kuajiriwa?Jitahidini
Pambaneni Vijana kudai haki yenu. Haki haiombwi inadaiwa. Kuna gharama kubwa sana kujitoa mhanga kwa ajili ya wengi. Msiogope songeni mbele, hii nchi ni yetu sote
Mimi nimepitasasa ilo swali si kuuliza watafute waliopita
Ndugu hata wao wanakili hilo ila wanasema lengo kubwa ni kuondoa bias, kwasababu waombaji ni wengi, interview haikupi mtumishi bora, kidogo useme mtu awe kazini kwa miaka mi2 mi3 ya matazamio ndo umpe mkataba.Usichokijua kuhusu interview za walimu serikalini ni tofauti na hizo nyingine
Interview za walimu private zipo clear kabisa mtu anaenda kupiga Pepa lineshiba nondo za advance pamoja na kufundisha ila interview hizi za serikali zina changamoto kubwa
Mtu unaenda kwenye interview hujui hata coverage ya interview: O level, advance na chuo
Halafu maswali multiple choice 25 written, kuanzia O level hadi chuo
Oral hivyo hivyo
Mimi nilipiga msuli wa chemistry O level na advance sikukuta swali hata moja na likatoka kwenye oral swali la chemistry ya chuo
Kwenye Bios nikasema nisisome contents za somo nipige course za education, mambo yakabadilika wakauliza huko huko kwenye written na oral na ukizngua maswali 3 au 4 ya written unaliwa
NB
Hata wewe ukifanyishwa interview kuanzia O level, advance hadi chuo lazima itakuwa ngumu tu
Isitoshe watu wanafanya shughuli zao za mtaani washaacha habari za kufundisha au kujitolea
INTERVIEW ni muhimu ila hizi hazipimi uhalisia wa mwalimu bora
Nionyeshe hapoangalia matokeo ya mchujo kiswahili utaona, mm nimefuta
Ajira katafuteni shule za Private. St zinahutaji walimuMwenyekiti wa Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO), Joseph Paulo Kaheza, amepewa dhamana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita baada ya kushikiliwa kwa upelelezi kuhusu ushiriki wake katika jumuiya hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na NETO tarehe 25 Februari 2025, Kaheza alikamatwa mnamo 24 Februari 2025 na baadaye kuachiwa kwa dhamana huku uchunguzi ukiendelea.
NETO imeishukuru jamii ya wanasheria, mashirika ya haki za binadamu kama THRDC na TLS, pamoja na vyombo vya habari na watu wote waliounga mkono juhudi za kuhakikisha kiongozi wao anaachiwa.
Aidha, NETO imesisitiza kuwa si chama cha siasa na hakihusiani na migomo yoyote, bali ni jukwaa la walimu wasio na ajira kushirikiana kupitia mitandao ya kijamii. Umoja huo umesisitiza kwamba utaendelea kuishinikiza serikali kutoa ajira kwa walimu waliomaliza mafunzo yao kati ya mwaka 2015 na 2023, kutokana na uhitaji mkubwa wa walimu mashuleni.
"Tuna matumaini kuwa maombi yetu yatafanyiwa kazi kwa wakati," amesema Daniel Edgar Mkinga, Katibu Mkuu wa NETO, akihitimisha taarifa hiyo.
Ujumbe kutoka kwa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC)
Bila kupunguzwa kwa intake za Ajira za serikali napo kugumu, isitoshe watakulipa laki2.Ajira katafuteni shule za Private. St zinahutaji walimu
Gifted fool...Hawa NETO ni MATOKEO ya elimu mbovu tuliyo nayo ukweli mchungu ni kwamba zaidi ya 90,% ya kada ya ualimu hawakuandaliwa kiushindani katika soko la ajira. Leo wanaona wanaonewa wakati Kuna maelf ya watu wamesoma HR, Gas engineering, petroleum engineering, socialogy nk wako mtaani wanapambana kila siku na bahasha BILA mafanikio.