Mwenyekiti wa walimu wasio na ajira (NETO) aachiwa kwa dhamana kwa shtaka la kujihusisisha na jumuiya isiyo na usajili

Hakuna umoja wa polisi wasio na ajira ?😏
 
 
Usichokijua kuhusu interview za walimu serikalini ni tofauti na hizo nyingine

Interview za walimu private zipo clear kabisa mtu anaenda kupiga Pepa lineshiba nondo za advance pamoja na kufundisha ila interview hizi za serikali zina changamoto kubwa

Mtu unaenda kwenye interview hujui hata coverage ya interview: O level, advance na chuo

Halafu maswali multiple choice 25 written, kuanzia O level hadi chuo

Oral hivyo hivyo

Mimi nilipiga msuli wa chemistry O level na advance sikukuta swali hata moja na likatoka kwenye oral swali la chemistry ya chuo

Kwenye Bios nikasema nisisome contents za somo nipige course za education, mambo yakabadilika wakauliza huko huko kwenye written na oral na ukizngua maswali 3 au 4 ya written unaliwa

NB
Hata wewe ukifanyishwa interview kuanzia O level, advance hadi chuo lazima itakuwa ngumu tu

Isitoshe watu wanafanya shughuli zao za mtaani washaacha habari za kufundisha au kujitolea

INTERVIEW ni muhimu ila hizi hazipimi uhalisia wa mwalimu bora
 
Kweli tu
naongozwa na akili mdogo Sana kama mawazo yako yameishia hapa. Maana waliowengi wanaoshabikia udhalimu huu ni wanufaika wa mfumo mbovu wa Ma CCM.
 
TUNAKATAA UHUNI NA UBABAISHAJI KWENYE INTERVIEW.
Mwalimu hawezi kufanana level of thinking na kada zingine. Hao uliowataja #Sociology #HR # n.k hawawezi kufanana na mwalimu level of thinking kwani mwalimu yupo juu yao.
Mwalimu anafuta ujinga ndio hao wanapatikana wa kada zingine sasa iweje tumuweke mwalimu same level of thinking na wa kada zingine.
Mfano mzuri ni wewe, unahitaji mwalimu tena wa kukutoa hapo ulipo ili uamke zaidi ksma hujaona madai ya walimu wale bado level yako ya kufikiri ipo chini.
 
Waliopita wamewezaje?
 
Kama tuu waalimu wanashindwa kuwa professional kwenye kazi zao mpaka wanashindwa kusajili chama chao, je wataweza kuwafundisha wanafunzi na kuelewa? πŸ˜‚
 
Jitahidini

Pambaneni Vijana kudai haki yenu. Haki haiombwi inadaiwa. Kuna gharama kubwa sana kujitoa mhanga kwa ajili ya wengi. Msiogope songeni mbele, hii nchi ni yetu sote
Haki yao ya kuajiriwa?
 
KWANZA CHONDE CHONDE UTUMISHI MWALIMU YOYOTE WA KATI YA 2015 MPAKA 2020 ALIYEFIKA ORAL NA AKAPATA TU HATA 50% YA MATOKEO YA ORAL MSIMUACHE.
 
Ndugu hata wao wanakili hilo ila wanasema lengo kubwa ni kuondoa bias, kwasababu waombaji ni wengi, interview haikupi mtumishi bora, kidogo useme mtu awe kazini kwa miaka mi2 mi3 ya matazamio ndo umpe mkataba.
 
Ajira katafuteni shule za Private. St zinahutaji walimu
 
Gifted fool...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…