MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Aise, achana na taasisi inayoitwa serikali. Sio ndogo hivyo unavyowaza. Sawa hautakiwi kuiogopa serikali ila amini nakuambia unatakiwa kuiheshimu kwa.adabu zote ulizofundishwa kwenu.Hata tshekedi aliamini hivyo hivyo kama unavyo amini wewe kwamba serikali ni lidude likuuubwa halitishwi wala kutishika lakini mwisho wa siku akajua kumbe kuna serikali kikundi chake na kuna wananchi wenye nchi na ndiko tunako pelekwa sasa hivi
Kabisa Mkuu.Kuna bro mmoja ni mkandarasi, wali wahi pata tuhuma za kuchekewesha mradi kwa makusudi.
nika muuliza mbona hamja zungumza msikike, aka sema vingine waachie viongozi wa chama.
maisha yako ni bora kuliko kushindana na kutunisha msuli, kisa uonekane ume ongea!.
Kabisa Mkuu.
Ni sawa na unakuta mtu labda anafanya maombi ya ajira online alafu mtandao unakuwa mzito au unazingua yeye anatoka mbio anakuja lalamika mtandaoni.
Hajui hata kama ni kosa la jinai yena chini ya sheria zetu hizi hizi kusema mfumo wowote wa kimtandao wa serikali unachangamoto. Wazee wakiruka naye anaona kama kaonewa kumbe ndio kazingua.
Uoga sio mzuri ila mtu uheshimu tu mipaka.
Serikali ya bibi ina ufanisi wa 1000%. Kwa hiyo ukosoaji wowote ni uchochezi.Mwenyekiti wetu wa NETO Joseph Paulo Kaheza amekamatwa na police mkoani Geita. Tumethibitisha hizi taarifa kutoka kwa mjomba wake ambaye alifika katika kituo hicho cha Central Geita Mjini na kutaka kumwekea dhamana kitu ambacho kilishindikana.
Soma Pia: Umoja wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) wakubali wito wa Simbachawene lakini wataka kuwepo na Ulinzi kwenye kikao
View attachment 3248480
Na wewe dogo usitake kutuchezeahao tayari wameshakuwa threats Kwa Serikali .
Maana wamepata kuungwa mkono na kundi kubwa la watanzania Kwa muda mfupi.
Ningeshauri waendelee na huo msimamo na wafanye hiyo Kama Kazi na Chama kikue wapate posho na office .
Japo Mimi sio muumini wa kutafutiwa ugali Ila ninapenda Sana Movement za kusonga mbele
Tupo pamoja hakuna kurudi nyuma.
Mimi DOGO sio ?Na wewe dogo usitake kutuchezea
Unaweza kama hivi mkuuO
Oyaa kama angekuwa kakaangu wameua na mimi nakuwa tayar kufa lazima niondoke na ma ofisa wachache waone uchungu wa family zao pia
TZ ya sasa raia walazimishwa na self appointed MACHAWA kukubali kila kitu! Tusibishe, tusilalamike, tusikubali uovu, kunyimwa haki..Mwenyekiti wetu wa NETO Joseph Paulo Kaheza amekamatwa na police mkoani Geita. Tumethibitisha hizi taarifa kutoka kwa mjomba wake ambaye alifika katika kituo hicho cha Central Geita Mjini na kutaka kumwekea dhamana kitu ambacho kilishindikana.
Soma Pia: Umoja wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) wakubali wito wa Simbachawene lakini wataka kuwepo na Ulinzi kwenye kikao
View attachment 3248480
😲🤔🤔💭Mwenyekiti wetu wa NETO Joseph Paulo Kaheza amekamatwa na police mkoani Geita. Tumethibitisha hizi taarifa kutoka kwa mjomba wake ambaye alifika katika kituo hicho cha Central Geita Mjini na kutaka kumwekea dhamana kitu ambacho kilishindikana.
Soma Pia: Umoja wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) wakubali wito wa Simbachawene lakini wataka kuwepo na Ulinzi kwenye kikao
View attachment 3248480
Hiyo taasisi ya NETO imesajiliwa?Sasa polisi kwa kosa gani? Tena kunyimwa dhamana mbona polisi wanafanya mambo ya ajabu hivi?
Kimesajiliwa wapi hicho chama?Naomba mfahamu mimi raisi wa chama Cha ma jobless pro max niko salama kabisa.
hao neto sijui neto ni wezi wa sera na jina letu la ma jobless pro max,
Raisi wa chama Cha ma jobless pro max ni Intelligent businessman.
makamu wake ni Bolotoba.
katibu wa ma jobless ni min -me, mratibu wa mipango ni Edo kissy.
Wakili wa ma jobless ni Selikavu
waziri wa mambo ya ndani ni Thecoder, na msemaji wa chama Cha ma jobless pro max ni makutupora.
Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
View attachment 3248564
Anatumiwa na Lissu kisiasaUtashangaa wamemuua!
Mkuuu kuna vitu vinauzi hiii NCHI