Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Huyu jamaaa sema ni vile tu propaganda kama kuna mtu anamwelewa vibaya huyu jamaaa basi tumuombee apumzike salama huko aliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaaa sema ni vile tu propaganda kama kuna mtu anamwelewa vibaya huyu jamaaa basi tumuombee apumzike salama huko aliko
CCM wana Mambo ya kipumbavu Sana Sana wanajenga tension ambayo wala haina umuhimu wowote uleMwenyekiti wetu wa NETO Joseph Paulo Kaheza amekamatwa na police mkoani Geita. Tumethibitisha hizi taarifa kutoka kwa mjomba wake ambaye alifika katika kituo hicho cha Central Geita Mjini na kutaka kumwekea dhamana kitu ambacho kilishindikana.
Soma Pia: Umoja wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) wakubali wito wa Simbachawene lakini wataka kuwepo na Ulinzi kwenye kikao
View attachment 3248480
Uko Sahihi kabisa
Sàaana sana, police wanawakamata kwa kosa gani? Wamevunja sheria ipi? Wamemtukana Nani??Acheni vijana wajipambanie , Kama hauwezi kuwaunga mkono waache wengine watawaunga mkono .
Unafikiri wangekaa kimya Serikali ingefikiria kuboresha Madai yao .
Hoja zao ni za msingi Sana
Hawa police nao ni Wapumbavu Tu. Unamkamata MTU kwenye Nchi huru??Yaani kupigwa tupigwe, hata kulia tunazuiwa?
Kidumu naona wakati wangu wa kuwa active umefika😀Naomba mfahamu mimi raisi wa chama Cha ma jobless pro max niko salama kabisa.
hao neto sijui neto ni wezi wa sera na jina letu la ma jobless pro max,
Raisi wa chama Cha ma jobless pro max ni Intelligent businessman.
makamu wake ni Bolotoba.
katibu wa ma jobless ni min -me, mratibu wa mipango ni Edo kissy.
Wakili wa ma jobless ni Selikavu
waziri wa mambo ya ndani ni Thecoder, na msemaji wa chama Cha ma jobless pro max ni makutupora.
Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
View attachment 3248564
Nilifahamu Tu kuwa hili lazima litokee... Huyu dogo alikuwa anawindwa baada ya Ile kauli ya simbachawene.Mwenyekiti wetu wa NETO Joseph Paulo Kaheza amekamatwa na police mkoani Geita. Tumethibitisha hizi taarifa kutoka kwa mjomba wake ambaye alifika katika kituo hicho cha Central Geita Mjini na kutaka kumwekea dhamana kitu ambacho kilishindikana.
Soma Pia: Umoja wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) wakubali wito wa Simbachawene lakini wataka kuwepo na Ulinzi kwenye kikao
View attachment 3248480
Wewe unaona ni OCD tu kaamua,hayo ni maagizo kutoka juuNa hapo unaweza kuta OCD tu baada ya kuona ile clip kaagiza vijana wake mkamateni bila hata reasoning
Vijana waoga waoga kama ww mnastahili kuwa chakula cha mambaLabda kuzua taharuki na kusambaza taarifa za uongo mtandaoni. Unajua ukitamka jambo la kitakwimu inabidi uwe makini sana.
Hawa walitakiwa hizo hotuba na maelezo yao yote wapitishe kwenye jopo la mawakili, ili kuangalia madhara na matokeo yake. Hivyo ndio mambo yanapaswa kwenda na sio hivi kwenda kiholela, lazima uzingue tu na unajua Jamhuri haina time na raia mwema (mfuata sheria) tatizo lipo ukijichanganya pahali tu wana wewe.
Huyu jamaa nilimsikiliza kidogo ila nikajua hapa na hapa kazingua na wameruka naye tayari.
Vijana tunataki tujue kuwa tufanye yote ila kamwe tusijaribu kusababisha kitisho kwenye usalama wa hili taifa, utapotea na hakuna atakayejutia. Sasa kutaka kuinua hasira za graduates ni big move inayoitaji akili sana, sio jambo la mchezo au masihara.
Polisi wanaotumiwa na hii serikali ya kipumbavu tunaishi nao.waendelee kutesa na kuua ndugu zetu bila sababu,kuna siku tutawauwa wote na familia zao waumie kama sisi tunavyoumia kupoteza wapendwa wetu.Wananchi tuko wengi kuliko hao majambazi polisiO
Oyaa kama angekuwa kakaangu wameua na mimi nakuwa tayar kufa lazima niondoke na ma ofisa wachache waone uchungu wa family zao pia
TLS wasikae kimya,waende kumteteaMungu amlinde huyo dogo...
Ilikua lazima limkute hili maana tuko Tanzania.