Mwenyekiti wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) Joseph Paulo anadaiwa kukamatwa na polisi mkoani Geita

Mwenyekiti wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) Joseph Paulo anadaiwa kukamatwa na polisi mkoani Geita

Attachments

  • UDIKTETA MWALIM NYERERE.jpg
    UDIKTETA MWALIM NYERERE.jpg
    100.1 KB · Views: 1
Kama kijana fikiria kusomea mambo ya ufundi pia.
kwa sasa ajira za serikalini sio za kuzitegemea.
hapa namaanisha somea fani ya kuweza kujiajiri.
kwa Tanzania fulsa za kujiajiri bado zipo.
 
Polisi wanaotumiwa na hii serikali ya kipumbavu tunaishi nao.waendelee kutesa na kuua ndugu zetu bila sababu,kuna siku tutawauwa wote na familia zao waumie kama sisi tunavyoumia kupoteza wapendwa wetu.Wananchi tuko wengi kuliko hao majambazi polisi
Hakuna polisi mwenye akili wote kama wendawazimu wao kama wale ngombe wa msituni likianza kukimbia moja yote safari bila kujua nin kinawakimbiza ngoja waendelee hivo hivo siku kuna family zitalia na kusaga meno
 
Hakuna polisi mwenye akili wote kama wendawazimu wao kama wale ngombe wa msituni likianza kukimbia moja yote safari bila kujua nin kinawakimbiza ngoja waendelee hivo hivo siku kuna family zitalia na kusaga meno
Usiwatukane polisi sio wote wenye tabia mbaya. Una nafasi yakubadili uongozi ushawishi na hoja zako zinaweza kufanya mabadiliko makubwa jiamini
 
Usiwatukane polisi sio wote wenye tabia mbaya. Una nafasi yakubadili uongozi ushawishi na hoja zako zinaweza kufanya mabadiliko makubwa jiamini
Wote polisi isipokuwa wajeda magereza uhamiaji na TANAPA jeshi lilibaki hawana akili na maendeleo
 
Mwenyekiti wetu wa NETO Joseph Paulo Kaheza amekamatwa na police mkoani Geita. Tumethibitisha hizi taarifa kutoka kwa mjomba wake ambaye alifika katika kituo hicho cha Central Geita Mjini na kutaka kumwekea dhamana kitu ambacho kilishindikana.

Soma Pia: Umoja wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) wakubali wito wa Simbachawene lakini wataka kuwepo na Ulinzi kwenye kikao

Katibu Mkuu wa Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) Daniel Edigar Mkinga ametangaza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa NETO, Joseph Paulo Kaheza akiwa mkoani Geita kwa kile alichodai ni vuguvugu la kupigania ajira kwa walimu wa Tanzania. Ameeleza kuwa alikamatwa na askari hao wakiwa na "silaha kali".

Akizungumza na Jambo TV Jumatatu jioni, Mkinga amesema Joseph amekamatwa mchana wa siku ya Jumatatu mkoani humo katika wakati ambao umoja huo umekubali mwaliko wa kukutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, kwa ajili ya majadiliano kuhusu ajira za walimu nchini.

"Askari hao wameahidi kukamata viongozi wote wa NETO nchini jambo ambalo tunalilaani vikali kwani sisi sio waahini, ni watoto wa kimasikini tunaoiomba serikali haki yetu ya ajira kutokana na ugumu wa maisha uliokithiri huku mtaani", ameeleza Katibu Mkuu huyo huku akilaani na kuonesha kusikitishwa kwa Joseph kunyimwa dhamana.

Jambo TV imemtafuta Barnabas Daud, ndugu wa Joseph, mkazi wa kata ya Nyankumbu Geita Mjini ambaye ameeleza kuwa Joseph alikamatwa majira ya saa 9 mchana katika mazingira ya kutatanisha kwani awali alimuacha dukani akiwa na mkewe lakini aliporudi hakumkuta. Hata hivyo baadaye gari lisiloonesha waliomo ndani lilifika dukani hapo na watu ambao hawakujitambulisha kama ni askari kutokana na kutoonesha vitambulisho wala kuvaa sare, wakiwa wamemshikilia Joseph kwa pingu mkononi.

Daud anaeleza kuwa miongoni mwa watu wale kuliwapo aliyemfahamu kuwa ni askari, na alipoulizia kosa la nduguye hakuambiwa zaidi ya kuelezwa kuwa Joseph atapelekwa ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (RCO) na kupewa mawasiliano ya mmoja wa wale wati. Baadaye gari hilo liliondoka na Barnabas akachukua hatua ya kwenda ofisi ya RCO ambako huko aliambiwa nduguye hayupo, akafuatilia kituo kingine cha wilaya ambako hakumkuta, ndipo akawasiliana na askari wa namba aliyoichukua ambaye alimsisitizia kuwa nduguye yupo kwa RCO akihojiwa.

Barnabas alifika kwa RCO saa 11 jioni ambapo aliambiwa arudi saa mbili usiku, aliporudi akakutana na ndugu yake ambaye alimwambia sababu ya kukamatwa kwake ni kuwa sehemu ya kundi la NETO.
Kwanini amekamatwa wakati wanadai haki yao ya ajira?

Amehatarisha kitu gani wakati ametumia njia halali za kupaaza sauti kuliko kjiingiza kwenye magenge ya kihalifu?

Waliomkamata wametumwa na nani kuwazima sauti zao kama hawafichi maovu dhidi ya utoaji ajira stahiki kwa walimu?

Tangu lini mwalimu asomeshwe halafu unamtaka aende kulima au kuwa mjasiriamali badala ya kuelimisha umma wa kizazi kilichopo?

Uchawa umezidi sasa kwa kujipendekeza wakifikiri wanamfurahisha malkia kumbe ndio wanapalilia hasira za wananchi kwa ujumla wao!!


Mwisho walimu wote mnaotumika kuipitisha CCM kwenye chaguzi mbalimbali somo mmeliona mubashara bila chenga.......mwenzako akinyolewa za kwako tia maji ili kunyolewa kwako kusilete changamoto!!!
 
Wana Neto wangepambana kama sisi wenzao kukubali ukweli, mimi kama jobless mwenye degree nimekubali kwenda garage kujifunza, vitu tofauti sahvi naweza kuendesha 👉Ata Costa
👉Bajaji
👉Naweza ufundi wa umeme wa magari
👉Kupaka rangi
👉U-Mc msaidizi

Itabidi waangalie nje ya box
Unaweza kuta wengine walivitupa vipawa vyao, baada ya kupata degree zao and diploma
Waangalie vipaji vyao
Bila shaka wewe ni Mnufaika wa huu mfumo wa hovyo wa Ma CCM na akina mkenda.
 
Huyu jamaa angekuwa selected au kaajiriwa hata wazo la kuanzisha NETO lisingekuwepo

Vijana kazeni ajira miaka hii za ushindani sana si lelemama

Hakuna serikali itakayoweza kuajiri walimu wote 200k mlio mtaani

Ni mwendo wa mchujo. Mbona kada zingine hatuwaoni kulalamika na kuanzisha vyema vya kihuni huni
Chawa wa mkenda tulia dawa ikuingie. Na Bado haiwezekani mule peke yenu tu cake ya taifa.
 
Hata tshekedi aliamini hivyo hivyo kama unavyo amini wewe kwamba serikali ni lidude likuuubwa halitishwi wala kutishika lakini mwisho wa siku akajua kumbe kuna serikali kikundi chake na kuna wananchi wenye nchi na ndiko tunako pelekwa sasa hivi
Ndiyo hawa CCM huwa wanajiona Tz ni mali yao pekee
 
Back
Top Bottom