Bado ni tetesi
Hata ikiwa kweli, atarudi kama Messi alivojiuzulu kuchezea timu ya Taifa Argentina kisha akarejea [timu wapenda kubembelezwa...]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ni tetesi
Hivi Mengi alikuwa wapi wakati timu inafanya vibaya miaka ya 2003.
Anatikisa kiberiti wampe timu huyo mhindi mjinga sana...anataka akodishe timu bure
Kama hii habari ni ya kweli....tunaweza kusikia watu kibao pale mtaa wa jangwani watakufa kwa presha kwa sababu mshtuko......
Habari hii imekuja wakati mbaya sana.....
huwa navutiwa sana na "mnyukano" usio na kikomo wa manji vs mengi.
Baada ya taarifa kwamba Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amejiuzulu uenyekiti kuzagaa, SALEHJEMBE ilifanya kila juhudi kumpata na mwenye akazungumza kwa ufupi.
Alipoulizwa kuhusiana na suala la kujiuzulu na pia kusitiza uamuzi wake wa kutaka kuwekeza au kuikodisha Yanga kwa miaka kumi, alisema basi imetosha.
“Kwa kweli imetosha, imetosha sasa,” alisema.
Alipoulizwa afafanue kuhusiana na kauli hiyo, Manji aliongeza.
“Nimesema hivi, imetosha. Naomba uniache, nisingependa kujibu lolote kwa sasa, niache tafadhari."
Kumekuwa na taarifa kwamba Manji ameamua kuachana na wazo lake la kuwekeza Yanga kwa miaka 10 baada ya kuona hata baadhi ya viongozi wa serikali wakimuandama kwa madai wanatumiwa na baadhi ya mamilionea.
Taarifa nyingine zimeelezwa kwamba, wako wanachama wa Yanga ambao wanaona hawatafaidika na maslahi yao binafsi kama Manji atawekeza, hivyo wamekuwa wakipambana kuhakikisha haingii mkataba na kupewa nafasi hiyo kwa kuwa inaweza kuwavuruga.
Awali, kumekuwa na taarifa Manji ameamua kujitoa kwa kuwa kuna juhudi za chini pia zinazohusisha hadi watu wengine wenye mamlaka katika soka ambao wana hofu na uwekezaji wake.
DAH,hata mimi sikusoma signature yako,kumbe na wewe pia ni jipu...kudadekii.....Sorry sikuona signature yako akili za mbayuwayu................so nichanganye na zangu...kudadekiiiiiiiii
Haya kaweke wewe hisa hizo 51% au 41%He is childish anapenda kuabudiwa na kusujudiwa, Kama Ana njia njema Kwa nini anashindwa ku argue his case? Watanzania watakua ma mbumbumbu kutoa time ya wananchi waliojenga tangu Uhuru Kwa hiyo hela kiduchu. Tuliwashangaa wana yanga Kwa nini anataka nembo Kubwa hivyo for only 500per annum? Hiyo ni budget ndogo sana Kwa nembo inayo mean lives Za watu vizazi Kwa vizazi. Why 75% why not 51% or 49% Kama kweli anataka uzalendo?