Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Aibu kubwa sana.dah! aibu
aibu vipi, kunyongwa au kuibaAibu kubwa sana.
CCM igeni Sheria mzuri Namba hii kutoka UchinaMwenyekiti wa zamani wa Benki ya China, Liu Liange amehukumiwa kifo kwa kupokea hongo ya dola milioni 16.8 (TZS bilioni 44.4) pamoja na makosa mengine ya ufisadi na utoaji wa mikopo kinyume cha sheria.
Mahakama ya China imeamuru mali zote binafsi za Liu zitaifishwe na mapato yake yote yanapaswa kurejeshwa na kuwasilishwa kwenye hazina ya serikali.
Hahaah wajihukumu wenyewe?CCM igeni Sheria mzuri Namba hii kutoka Uchina
Mkuu,hata wasiokua viongozi,wapo ambao nao wanaiba kwenye maeneo yao ya kazi,wanachukua rushwa kwenye maeneo yao ya kazi,hii sheria ingekua ni bongo, hawa viongozi wa viyoyozi wote wangekuwa makaburini.