GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wewe ni mamluki wa CCM wala siyo chadema!Mimi ni Chadema ila namkubali sana mzee Magufuli, chama chetu wababaishaji sana
Kwanza hata kura zake utata mtupu
Waacheni wananchi waone rangi zake zote kabla ya kufanya maamuzi trh 28/10. Hajui kwamba kura ni siri.
mimi ni chadema ila namkubali sana mzee magufuli.chama chetu wababaishaji sana
Mbaguzi huyu hawezi kuaiacha hii kauli. Iko kwenye damu yake
Kuna siku atasema wapinzani wote wahame Tanzania.Unasema kuwa Wewe ni Rais wa Watanzania wote kisha hapo hapo tena 'unatishia' Watu kwa Kuonyesha 'Ubinafsi' hii ni Siasa ya wapi tena? Inaboa!
Kaoshe kitumbua hicho kijani mkubwa wewemimi ni chadema ila namkubali sana mzee magufuli.chama chetu wababaishaji sana