GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Siku zote umekuwa mkweli. Koleo unaliita koleo wala si kijiko kikubwa. Hongera sana kwa hilo.
Asante Mkuu wangu. Ninampenda na Kumkubali mno na sana tu Mwenyekiti na Rais wangu Dkt. Magufuli ila sijui kwanini huwa ananiangusha hivi.