Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu CCM Taifa, Rais Dkt. Magufuli tafadhali achana na Kauli kama hii katika 'Kampeni' zako kwani zinakuharibia na zinachanganya

Magufuli anachofanya sio sahihi alitakiwa ajiulize kwanini wabunge wa chama chake hawachaguliwi na sio kulazimisha wachaguliwe.
Kila mtu ana uhuru na sababu kwanini amefanya maamuzi ya kuchagua kiongozi fulani.
Kama serikali ilinifanyia dhuruma kwanini niichague au kama imeleta kiongozi mbovu kwanini nichague lakini kitendo chake cha kukataa kuleta maendeleo kisa wamechaguliwa upinzani mbona kodi zao anachukua
Ukiona sehemu mbunge wa upinzan kashinda afu kura za urais zimeenda kwa CCM jua tushaibiwa
 
Kwani huyo Kapuya, si ndiye alimnajisi house girl wake?

Kwa hiyo Meko anamuona Kapuya mtakatifu sana hata amshawishi kujenga barabara huko unyamwezini?
4F39DE7C-C9EE-4D4D-9EE9-0DA51A91D7A4.jpeg
 
"Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia,nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga...mambo ndivyo yanavyokwenda hivyo".Dkt.Magufuli

ITV Tanzania / Nipashe

Hivi nyie mlio karibu nae akina Dkt. Bashiru Ali na Mzee Philip Mangula kwanini msishauri aachane na Kauli za 'Kibabe' kama hizi? Tunachoka sasa!!
Wapinzani hawataki maendeleo ya vitu sasa asingekuwepo Kapuya mbunge wa CCM mdai maendeleo ya barabara hiyo barabara isingejengwa.Kasome sera ya Chadema hawana mpango na maendeleo ya vitu ina maana ukichagua mbunge wa Chadema sabau maendeleo ya vitu sababu hatayatafuta sera yake hairuhusu
Wala Dr Magufuli hajakosea
Walipo wabunge wa Chadema apeleke maendeleo ya vitu ya nini? Kuchagua mbunge wa Chadema ni kuchagua sera kuwa watu wa eneo hilo hawataki maendeleo ya vitu sasa kama hawataki unawalazimisha kuwapelekea?
 
Mkiwachagua hao wengine hawaweza kuendeleza miradi niliyoianzisha-Magufuli.

Apige picha akifa leo hakuna atakae we za kuingoza nchi? Hizi ni kauli za hovyo kutolewa na kiongozi. Hi

Nakubaliana nawe kwa hili kwa 100% Mkuu. Na nitashangaa na kusikitika pia kama nikiona wana CCM Wenzangu hapa hawaoni hili ni Tatizo pana.
 
Ameishi na ubaguzi huo katika damu yake karibia miaka 60 kwa vyovyote vile husitegemee kuwa atauacha.Rais wa nchi unapaswa kutenda kwa usawa katika maeneo yote ya nchi bila kujali ni wapi ulipata kura ngingi na ni wapi mpinzani wako alipata kura nyingi zaidi.

Hakika nawaambieni kama Watanzania hatutoungana na kumuondoa huyu mtu Ikulu mara hii, maumivu ambayo kila mmoja ameyapitia kwa miaka hii mitano, yatakuwa kama tone tu la maji ndani ya pipa lililojaa maji. Ngojeni kuanzia mwezi wa Desemba mwaka huu.
 
Wapinzani hawataki maendeleo ya vitu sasa asingekuwepo Kapuya mbunge wa CCM mdai maendeleo ya barabara hiyo barabara isingejengwa.Kasome sera ya Chadema hawana mpango na maendeleo ya vitu ina maana ukichagua mbunge wa Chadema sabau maendeleo ya vitu sababu hatayatafuta sera yake hairuhusu
Wala Dr Magufuli hajakosea
Walipo wabunge wa Chadema apeleke maendeleo ya vitu ya nini? Kuchagua mbunge wa Chadema ni kuchagua sera kuwa watu wa eneo hilo hawataki maendeleo ya vitu sasa kama hawataki unawalazimisha kuwapelekea?

Nakujua Wewe ni mwana CCM Mwenzangu hivyo nakuomba unipe Maoni yako je, Kauli hiyo ya Mgombea wetu Magufuli imekaa sawa sawa Kwako?
 
"Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia,nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga...mambo ndivyo yanavyokwenda hivyo".Dkt.Magufuli

ITV Tanzania / Nipashe

Hivi nyie mlio karibu nae akina Dkt. Bashiru Ali na Mzee Philip Mangula kwanini msishauri aachane na Kauli za 'Kibabe' kama hizi? Tunachoka sasa!!
Kwa akili yako tukizungumzia washauri wa rais hao kina Bashiru wanaweza kuwamo?
 
"Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia,nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga...mambo ndivyo yanavyokwenda hivyo".Dkt.Magufuli

ITV Tanzania / Nipashe

Hivi nyie mlio karibu nae akina Dkt. Bashiru Ali na Mzee Philip Mangula kwanini msishauri aachane na Kauli za 'Kibabe' kama hizi? Tunachoka sasa!!
Mburura tu ndio wanaweza chagua mtu huyu.
Statements Kama hizi zitumike kwa haraka Kama mifano hai ya kwa nini sera ya majimbo na katiba mpya ni muhimu Sana maana nchi ukipata kiongozi hamnazo ni majanga
 
"Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia,nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga...mambo ndivyo yanavyokwenda hivyo".Dkt.Magufuli

ITV Tanzania / Nipashe

Hivi nyie mlio karibu nae akina Dkt. Bashiru Ali na Mzee Philip Mangula kwanini msishauri aachane na Kauli za 'Kibabe' kama hizi? Tunachoka sasa!!
Inzi kafia kwenye kidonda ,kafa na tai shingoni ,yaani wewe umeamua kabisa kujilipua
 
"Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia,nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga...mambo ndivyo yanavyokwenda hivyo".Dkt.Magufuli

ITV Tanzania / Nipashe

Hivi nyie mlio karibu nae akina Dkt. Bashiru Ali na Mzee Philip Mangula kwanini msishauri aachane na Kauli za 'Kibabe' kama hizi? Tunachoka sasa!!
Hilo ndondocha halishauriki
 
mimi ni chadema ila namkubali sana mzee magufuli.chama chetu wababaishaji sana
Tukuulize onyesha quality ya huyo unaemkubali against quality ya viongozi wa cdm wababaishaji,ukijibu hili swali nitajua rangi zako halisi vinginevyo wewe ni wale nzi wa kijani wanaotapatapa bila hoja
 
Pamoja na kauli yake hiyo kuwa na ukakasi lakini hatuwezi kuchagua rais kisha aongoze nchi kwa matakwa na matamko ya huyu juha hapa[emoji116][emoji116]
20200921_110910.jpg
 
Kwani huyo Kapuya, si ndiye alimnajisi house girl wake?

Kwa hiyo Meko anamuona Kapuya mtakatifu sana hata amshawishi kujenga barabara huko unyamwezini?
Mbaya zaidi akamuunganisha na grid ya taifa,watu mna kumbu2.
 
Back
Top Bottom