Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu jihadhari kwa CHADEMA hii kuna kitu mbele yao we hujui tuu

Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Acha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote
 
Dadavua kidogo basi
 
Mkuu umejuaje wewe?
 
Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.

Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.

Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

P
 
Acha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote

Tofautisha kupendwa na kuutia umma hofu ili ionekane unapendwa. Hakuna wizi wowote wa maana uliozibwa, ila uhuru wa vyombo vya habari ndugu umeminywa ili usitangaze hayo mapungufu.

Kange Lugola Takukuru walisema uchunguzi umekamilika kwa 99%, mbona hapelekwi mahakamani, lakini wanacdm waliopigwa gerezani juzu uchunguzi umeshakamilika na jalada linapelekea kesho kwa kesi kuanza! Hivi bado mnadhani watu ni wajinga wa hivyo? Siasa chafu haziwatoi.
 
Back
Top Bottom