Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu jihadhari kwa CHADEMA hii kuna kitu mbele yao we hujui tuu

Acha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote
Tulia pumbavu mkubwa wewe MATAGA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.

Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.

Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

P
Pascal mayalla,wewe siyo Mungu,anachopanga Mungu ndicho hutokea. Hata wewe hukujua,na hukupanga kuzaliwa. Umejishanga upo diniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maisha bhana kila mmoja ana mitego yake sijuhi kwanini hawakukumbuki kwa juhudi zako!
Huyo anamategemeo ya awamu ifuatayo, wakati huu imekuwa 'toolate'.

Bunsen Burner alivumilia hadi kaambulia ubalozi..., huyu naye anafuata nyayo hizo hizo.
 
Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
nitaendelea kuuliza hili swali hadi nipate jawabu......

chama ambacho think-tanks wake ni Bashite na Musiba unategemea nini??
 
Kila anayeulaumu utawala wa awamu ya 5 ni mwendawazimu na anastahili kufa kwa kunyongwa maana ni mwizi, mla rushwa, mvivu na msaliti.
Hii nimeisoma mara ya kwanza, nikaona nipite tu kwa kujua inatoka kwa mtu aliyechanganyikiwa, ambaye michango yake humu ni 'chorus' isiyobadilika...

Sijui sababu zilizonifanya nirudi nyuma nikupe heshima ya kujua kuwa nimekusoma.

Zaidi ya hapo, sina la ziada litakalosaidia kuimarisha mawazo yako kama hayo uliyobandika hapo juu..
 
Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.

Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.

Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

P
acha bangi Dunia yenyewe haitodumu milele.

Itatawala milele kwakua ccm imeumbwa na Mungu sio kama Roman Empire ,Austria Empire au Matternech system. Dola unaweza yenyewe ikajivua uccm na ikawa dola ya chama kingine maana ili linawezekana. Sijui nilikua bado mjinga? Unajua kuna wakati nilikua nakuona Paschal Mayalla kama mtu..kumbe my mind corrupted by brain
 
Acha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote
Mbona huko uhutuni ndio kiwanda chenyewe cha ukabila.VIP ujapeleka CV uteuliwe
 
Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Ujumbe umeshafika asante. Sikio la kufa hili. Wataanza na wao kutembea mabarabarani.
 
Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Natamani hayo yatokee sasa iv
 
Acha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote
Kama mnawekeza kwenye mifuko iliyotoboka yaani white elephant project hio kuna tofauti gani Na mianya ya upotevu awamu ya mkwere
 
Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Usitafute sababu ya kupigia Pesa zingine msitafute mchawi mfe kivyenu
 
Back
Top Bottom