Sijui Kama Kuna mwanadamu anaijua milele,,,Unaposema itatawala milele unakuwa unawapangia watu sivyo Mana milele huijui.Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.
Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.
Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P