Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu jihadhari kwa CHADEMA hii kuna kitu mbele yao we hujui tuu

Wasukuma manaona nchi yenu,sawa mtatawala milele
 

Mkuu kwani we ni nani kwenye hii nchi mpaka uweze kuona chama kinachofaa zaidi ya ccm? Kwa taarifa yako chama na mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuongoza nchi hii. Kazi ambayo JK na Magufuli wameweza, nani atashindwa?
 
Watz wanamwogopa na kumpa madaraka mwenye nguvu. Mheshimiwa anaweza kifuta chama na kujitangaza mfalme na kama hakuna wanachama wa kumzuia Watz watashangilia na kumpa utawala wa milele. Ni vile tu hatujapata mheshimiwa mwemdawazimu.
 
Mkuu kwani we ni nani kwenye hii nchi mpaka uweze kuona chama kinachofaa zaidi ya ccm? Kwa taarifa yako chama na mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuongoza nchi hii. Kazi ambayo JK na Magufuli wameweza, nani atashindwa?
Yap kama nchi tuna bahati mbaya, nchi imrongozwa na inaongozwa na wanasiasa mediocre,kama mwinyi, kikwete magufuli,
 
Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
2070
 
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu anaependa huu utawala wa awamu ya 5 labda ikiwa uko wako uwe kuna mtu ni kiongoz furani wa kuteuliwa au wa kuchaguliwa na mkuru mfano, mkuu wa mkoa, wa wilaya, waziri, katibu wa wizara furani, mkurugenzi, mkuu wa taasisi furani ya kuteuliwa na wengine wanaofanana na hao ila hawa wengine wote waliobakia wote hatuipendi ccm wala rais bora mara 100 hata aliepita mzee JK.. Nisiongee mengi nisije kupewa kesi ya uhujumu uchumi buree wakat maisha yangu yenyewe ni jera tosha[emoji28][emoji28]
 
Asivyo jiamini mpaka anadukua simu za mawaziri wake na wastaFu anatamani kura ziwe wazi ajue nani atampigia au kumkataa,

believe me 75% ya baraza lake LA mawaziri watamkataa
Ndoto za mchana, kila mtu anatamani afanye kazi ndani ya serikali ya awamu ya 5 ili historia imkumbuke. Huo ni ujinga wako tu wa chuki binafsi za kikabila na kijizi zinakufanya ufikirie hivyo. Nchi ipo mikono salama, watu wapo kazini 24/7 kuhakikisha unaishi kwa Amani.
 
Kila anayeulaumu utawala wa awamu ya 5 ni mwendawazimu na anastahili kufa kwa kunyongwa maana ni mwizi, mla rushwa, mvivu na msaliti.
 


Pasco unajua maana ya milele??
 
Tena kwa sasa, hakuna kabisa kuanzia individual mpaka chama zaidi ya CCM na Dkt Magufuli
 
Haya maisha bhana kila mmoja ana mitego yake sijuhi kwanini hawakukumbuki kwa juhudi zako!
 
OK kumbuka mzee mangula anaugulia sumu mwilini
 

Kila mtu anataka kufanya kazi na hii awamu sio kwa ubora, bali kwa maslahi. Ingekuwa wanajitolea hapo ni sawa.
 
Sidjani kama mama Samia au kasimu majaliwa anaweza mpigia kura hiyo jamaa yenu.
 
Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Tulia pumbavu mkubwa wewe
MATAGA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…