Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu jihadhari kwa CHADEMA hii kuna kitu mbele yao we hujui tuu

nomwangaliapo Halima na Bulaya roho inauma machozi yananidondoka hadi ila pengine Mungu amepanga kitu dhidi yao
 
Umesema ukweli tupu
Acha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2020 rais wetu lazima awe ngosha Dr Magufuli, utake usitake maana kila mtanzania atampigia kura ya ndiyo!
Hata Tundu Lissu na risasi zote zile atampigia? Wacha utani wa ngumi manka
 
Loud n clear... [emoji345][emoji344][emoji350]
Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani

Jr[emoji769]
 
Kuondolewa kwa chama cha sasa kinachoongoza serikali madarakani, siyo lazima wewe Pachal Mayalla uwe "umeona" ama "hujaona" chama kingine mbadala wake kuongoza serikali...

Ni kwa sababu, siyo lazima nchi/taifa liongozwe na Chama Cha Siasa ambacho "mpaka ukione wewe!!".

On the other hand, ina maana kuwa Taifa/nchi ipo na itaendelea kuwepo hata pasipokuwepo na chama chochote cha siasa hususani CCM...!!
 
Mku kweli kabisa lazima kuwe na Chama mbadala serious hatuwezi kumutoa aliyopo alafu tubaki bila mwelekeo.
 
Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Mwaka gani unazungumzia na kwa utaratibu upi?

macson
 
Acha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote
Hao ni ccm wa miatandaoni hawaijui ccm yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…