Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu watanzania,
Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anaelekea kufunga miaka Miwili Tangia alipoapishwa kuwa Rais wa Taifa Letu,Imekuwa Ni miaka ya kazi,miaka ya utumishi uliotukuka,miaka ya kujenga umoja wa watanzania,miaka ya kushikamana Kama Taifa,miaka ya kupanda na kushuka,miaka ya kusimama pamoja,miaka ya kusimama na Taifa,miaka ya kuiweka serikali mikononi mwa watanzania,miaka ya kufutana machozi,miaka ya kufarijiana ,kuponyana makovu,majeraha na maumivu.
miaka ya maridhiano,miaka ya kusameheana,miaka ya kufungua kurasa mpya, miaka ya kutazama mbele kwa matumaini,miaka ya kuiangalia Kanaan kwa matumaini,miaka ya Uzalendo ,miaka ya majadiliano,miaka ya kila mtu kufanya kazi,miaka ya kuambiana ukweli,miaka ya kulijenga Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe,miaka ya kutolaumiana,miaka ya kuunganisha nguvu zetu,miaka ya kila mmoja kujiona na kujivunia utanzania wetu, miaka ya kutanguliza mbele maslahi ya Taifa letu, miaka ya kuwasha Taa ya Matumaini mioyoni mwa watanzania.
miaka ya kuliheshimisha Taifa letu,miaka ya Taifa kuwa kubwa kuliko mtu binafsi na maslahi yake, miaka ya kufungua pingu za vinyongo na visasi,miaka ya kuwashinda maadui zetu miaka ya kupigana pamoja kulilinda Taifa letu na maslahi yeke,miaka ya kusimama na Rais wetu na serikali yetu.
Ni miaka ambayo Rais wetu alihakikisha Anajenga uchumi wa kumgusa kila mtanzania,Ni miaka ambayo Rais wetu mpendwa alihakikisha na kujitahidi kutomwacha mtu yeyote nyuma kiuchumi,Ni miaka na kipindi ambacho mh Rais alijitahidi kuimarisha demokrasia yetu ili kutoa nafasi kwa sauti zote kusikika masikioni mwake,Ni miaka iliyokuwa ya kujisahihisha mahali tulipokosea Kama Taifa,Ni miaka ambayo mh Rais alitoa huduma kwa watanzania pasipo ubaguzi wa aina yoyote,Ni miaka ambayo kila mwenye kufanya kazi aliweza kunufaika na jasho lake.
Ni miaka ambayo serikali ilifanya kazi ya kuwasaidia watu na siyo kuwaumiza, serikali ilifanya kazi ya kuwawezesha watu na siyo kuwakwamisha, serikali ilifanya kazi ya kuwainua watu na siyo kuwadidimiza, serikali ilifanya kazi ya kuwafariji watu badala ya kuwasimanga,Ni miaka ambayo serikali ilibeba mizigo ili kuwapunguzia maumivu watanzania,Ni miaka ambayo mioyo ya watanzania ilichanua kwa furaha na matumaini juu ya kesho iliyo Bora.
Ni miaka ambayo serikali ilifuta Msamiati wa kukata Tamaa,Ni miaka ambayo ushidi ulikuwa umetamalaki katika kila secta na kila mtanzania kushangilia ushindi husika,Ni miaka ambayo Rais wetu amefanikiwa Kuiteka Mioyo ya watanzania kwa uchapa kazi wake uliotukuka ,Ni miaka Ambayo watanzania tuliujuwa ukweli wa kila kitu kinachofanywa na serikali yetu,Ni miaka ambayo serikali imekuwa kwa ajili ya kuwatumikia watu wa aina zote na kuwasikiliza watu wote,Ni miaka ambayo serikali imejiweka mikononi mwa watanzania.
Ndio maana Mimi Lucas Mwashambwa moyo wangu unawiwa kusema kuwa Mwenyezi MUNGU Aendelee Kumjalia Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania, aendelee kumlinda na kumpigania Rais wetu, watanzania Tuendelee kumwamini na kumuunga mkono Rais wetu, Tuendelee kuitunza zawadi hii ya kipekeee tuliyopewa na Mwenyezi MUNGU kuweza kutuvusha kutupeleka nchi ya ahadi yenye maziwa na asali,yenye kutiririsha kila aina ya fursa kwa watu wa aina zote na Rika zote,nchi yenye Usawa,haki na maridhiano ya kutosha,nchi yenye kusikika kwa sauti ya kila mmoja wetu na yenye demokrasia ya kutosha na itakayokuwa mfano wa kipekee Barani Afrika na Duniani kwa ujumla.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627