Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
Hahika,Amin.
BTW, je wale wanaohangaikia pumzi na afya zao leo hii huko hospitalini, wale ambao wameamka na hawajui waazie wapi, wale ambao hawana ramani. ??
Tuwaombee, tuwakumbuke, maana kumbuka ukiwa nacho lipo kundi kubwa halina, ukiwa na afya kuna kundi kubwa linapambania pumzi/uhai.
Mungu hakawii kuitimiza ahadi yake kwa waja wake.
Ninawaombea wote katika mahangaiko yako ya kimwili na kiroho, mahospitalini, majumbani na popote walipo.
Mwenyezi Mungu awasikilize na kuwatimizia mahitaji yao kadiri ya mapokeo na utayari wa Mioyo yao,
Amen ....
Mtumishi ERoni kwa hakika Mungu amesikia kilio na huruma yako kwa ulio wataja, atawabariki.
Shukran sana kwa sadaka yako hiyo ya ukarimu kwa wahitaji mbalimbali...