Mwenyezi Mungu anakuona sema Ukweli Wewe uko Kundi ( Daraja ) lipi ( gani ) hapa?

Pumbavu acha Kunipangia nini cha Kufanya na kwa Mtu aliyepita Chuo Kikuu ukiandika tu GPA anaelewa na wala hakuna haja ya kuja na hizi Shobo na Sifa zako za Kishamba na Kijuha ulizozionyesha hapa.
Hajakosea, ulitakiwa uwe specific katika hayo makundi kwamba yanawahusu waliopitia chuo kikuu tu lakini wewe ume generalize alafu hutaki criticism unajiona ndugu yake na yesu?
 
Leo nimepanda dala dala bila kulipa nauli sijui niko namba ngapi
 
Degree ya sauti na yenyewe mnajivunia ??
Elimu ni kile kinachobaki kichwan na kina kuwa na impact kwa jamii sasa ukisema Degree ya Saut na yenyewe unajivunia unakuwa unakosea kana kwamba ni chuo kisichokidhi viwango na kupewa usajiri mfano mdogo 70% ya Maafisa habari wa Serikali wametokea chuo cha Saut waliosoma Mass Communication au Public Relations & Marketing! kwa hiyo mtu aliyesoma chuo chochote hapa Tanzania kilicho chini ya TCU au NACTE bado wote wana nafasi sawa kabisa!
 
Huu mchango wako ndugu GUSSIE ,unafaa uwekwe kwenye fremu na uwe maofisini pembeni ya picha Mh. Rais.
Umeandika ukweli mtupu na hali halisi ya elimu ya Tanzania.
 
Viewers 1k then comments zipo page 2.
Mamaae kama ni gundu bc hii ni next level.
 
Sijawahi ona mtu wa hovyo km wewe huna msaada wowote ktkt jamii yetu. Yote uliyoyaongea ni uongo mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…