Mwenyezi Mungu awajalie maisha marefu wamiliki wa Puma Energy Tanzania

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2016
Posts
4,707
Reaction score
11,365
Sidhani kama Kuna Private energy company inayolipa vizuri kama Puma, na kufata taratibu na Sheria za kazi.

Kiukweli Mungu awaweke na kuwapa maisha marefu maboss wa PUMA, nyie nimfano mzuri wakuigwa.

Natamani Bakharesa & MO na makampuni mengine yaige namna yakuwapa thaman wafanyakazi wao kama PUMA inavyofanya licha ya mishahara mizuri lakini bado bonus za kutosha.

Wenye PUMA mbarikiwe huko duniani mlipo.

"Nimenukuu maneno ya mfanyakaz wa PUMA, Kipindi napiga nae story Leo."
 
Inafika 7m?
 
Inafika 7m?
Inategemeana position lakini pale kima cha chini kabisa kwa mtu ambae ni seal man, aliemaliza form four nizaid ya 900K. Mtu ngazi ya officer hamna hamna analamba zaid ya 4.5M na Kila mwaka Kuna increments. Lakini pia wanapigwa bonus Kila mwaka. Uki sign contract (Renew) unaweza shangaa umepigwa hata mil 50 kama Bonus yakuongezewa mkataba. Hao ni officers tu sasa ukienda supervisors ndio balaa na niwabongo wenzetu tu hao.

Sasa wewe unaesubil ustaafu ndio upate mil 80 au 100 kama nssf Yako, pale watu wanazipiga kama bonus hizo baada ya ku renew mkataba.
 
Pesa mzuri wapongezwe
 
Sidhani kama Kuna Private energy company inayolipa vizuri kama Puma, na kufata taratibu na Sheria za kazi.

Kiukweli Mungu awaweke na kuwapa maisha marefu maboss wa PUMA, nyie nimfano mzuri wakuigwa.

Natamani Bakharesa & MO na makampuni mengine yaige namna yakuwapa thaman wafanyakazi wao kama PUMA inavyofanya licha ya mishahara mizuri lakini bado bonus za kutosha.

Wenye PUMA mbarikiwe huko duniani mlipo.
Ukipata kampuni nzuri utaenjoy
 
Back
Top Bottom