Mwenyezi Mungu awajalie maisha marefu wamiliki wa Puma Energy Tanzania

Sidhani kama Kuna Private energy company inayolipa vizuri kama Puma, na kufata taratibu na Sheria za kazi.

Kiukweli Mungu awaweke na kuwapa maisha marefu maboss wa PUMA, nyie nimfano mzuri wakuigwa.

Natamani Bakharesa & MO na makampuni mengine yaige namna yakuwapa thaman wafanyakazi wao kama PUMA inavyofanya licha ya mishahara mizuri lakini bado bonus za kutosha.

Wenye PUMA mbarikiwe huko duniani mlipo.

"Nimenukuu maneno ya mfanyakaz wa PUMA, Kipindi napiga nae story Leo."
Kama haimilikiwi na watu kutoka Asia basi lazima ijali watu
 
Pengine skendo yao iliyosababisha wabadili jina ndiyo imewafanya wawe hivyo.

Hata Mo na Bakhresa wakipata same issue na ikawakamata na kesi ili kujisafisha itabidi wawe wema
 
Nikajua unawapongeza kwa ufanisi mzuri pamoja na ubunifu mpya waliokuja nao kwenye utoaji wa huduma zao, kumbe unawapongeza kwa mishaara wanayowalipa??

Ila wabongo kwa kupenda mishaara kuliko kazi hamjambo.
Hilo ndilo tatizo la vijana wa kileo. Wanahangaikia mishahara minono, ukiwapa kazi wanachemka. Anataka apate mshahara mnono wakati huo huo muda mrefu akae JF na kuhangaika na CCM na Chadema, kuhangaika na Simba na Yanga. Israel na Gaza, Urusi na Kiev etc.
 
Sidhani kama Kuna Private energy company inayolipa vizuri kama Puma, na kufata taratibu na Sheria za kazi.

Kiukweli Mungu awaweke na kuwapa maisha marefu maboss wa PUMA, nyie nimfano mzuri wakuigwa.

Natamani Bakharesa & MO na makampuni mengine yaige namna yakuwapa thaman wafanyakazi wao kama PUMA inavyofanya licha ya mishahara mizuri lakini bado bonus za kutosha.

Wenye PUMA mbarikiwe huko duniani mlipo.

"Nimenukuu maneno ya mfanyakaz wa PUMA, Kipindi napiga nae story Leo."
Kivha ya kulipa vizuri, service nazo ni za viwango vya juu, from mafuta and service
 
Puma wanamwaga pesa sana, nakumbuka kipindi nmemaliza kidato cha sita nlifanya nao kazi kama Data collector kwenye kampuni moja ya tafiti za masoko. Task ilikua ni kuhoji watumiaji na wasio watumiaji wa Puma petrol station, kwa mwezi mmoja nakumbuka nililipwa 1.4M plus posho za kila siku ilifika kama 1.7M
 
Hilo ndilo tatizo la vijana wa kileo. Wanahangaikia mishahara minono, ukiwapa kazi wanachemka. Anataka apate mshahara mnono wakati huo huo muda mrefu akae JF na kuhangaika na CCM na Chadema, kuhangaika na Simba na Yanga. Israel na Gaza, Urusi na Kiev etc.
Kijana wa kitanzania akiajiriwa sehemu yoyote ile kitu Cha kwanza kinachomuijia akilin ni namna gani atatimiza malengo yake binafsi kwa haraka kupitia kazi hiyo na atafanya juu chini hili ajue kama Kuna mwanya wowote wa kujiingizia pato la ziada kinyume na utaratibu(ubadhirifu) nje na mshaara anaolipwa..... Na ikitokea amekosa loophole yoyote ya upigaji anajikuta ghafla anauchukia hiyo kazi.

Ni wachache sana ambao huwa wanafikiria kuleta ufanisi wao kwa 100%, wao vipaumbele vyao ni mishaara na upigaji.

Muda wa kazi wenyewe hawautumii ipasvyo, unakuta wakienda kunywa chai wanatumia masaa 2 na Bado wakiwa wanafanya kazi concentration hamna, muda mwingi simu ziko mkononi anaangalia nini kinatrend mjini,
 
Back
Top Bottom