Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Anaongea kufurahisha genge huyo, unafikiri kwanini kila mtu akiwaza ajira serikalini anawaza kwanza TRA na Mashirika mengine makubwa ya serikali? Its all about the misimbazis!Endelea mkuu kupenda kazi. Lakini huwezi kupenda kazi ukiwa na njaa, hujalipia ada watoto, mkeo/mwanao akiumwa huna uhakika wa matibabu yake, usafir asubuhi wagombania daladala au mwendokas masaa 2 upo stand. Then uwe wawaza kazi kwanza kuliko mshahara basi utakua vizuri.