RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Inafika 7m?Sidhani kama Kuna Private energy company inayolipa vizuri kama Puma, na kufata taratibu na Sheria za kazi.
Kiukweli Mungu awaweke na kuwapa maisha marefu maboss wa PUMA, nyie nimfano mzuri wakuigwa.
Natamani Bakharesa & MO na makampuni mengine yaige namna yakuwapa thaman wafanyakazi wao kama PUMA inavyofanya licha ya mishahara mizuri lakini bado bonus za kutosha.
Wenye PUMA mbarikiwe huko duniani mlipo.
"Nimenukuu maneno ya mfanyakaz wa PUMA, Kipindi napiga nae story Leo."
Inategemeana position lakini pale kima cha chini kabisa kwa mtu ambae ni seal man, aliemaliza form four nizaid ya 900K. Mtu ngazi ya officer hamna hamna analamba zaid ya 4.5M na Kila mwaka Kuna increments. Lakini pia wanapigwa bonus Kila mwaka. Uki sign contract (Renew) unaweza shangaa umepigwa hata mil 50 kama Bonus yakuongezewa mkataba. Hao ni officers tu sasa ukienda supervisors ndio balaa na niwabongo wenzetu tu hao.Inafika 7m?
Pesa mzuri wapongezweInategemeana position lakini pale kima cha chini kabisa kwa mtu ambae ni seal man, aliemaliza form four nizaid ya 900K. Mtu ngazi ya officer hamna hamna analamba zaid ya 4.5M na Kila mwaka Kuna increments. Lakini pia wanapigwa bonus Kila mwaka. Uki sign contract (Renew) unaweza shangaa umepigwa hata mil 50 kama Bonus yakuongezewa mkataba. Hao ni officers tu sasa ukienda supervisors ndio balaa na niwabongo wenzetu tu hao.
Sasa wewe unaesubil ustaafu ndio upate mil 80 au 100 kama nssf Yako, pale watu wanazipiga kama bonus hizo baada ya ku renew mkataba.
Ukipata kampuni nzuri utaenjoySidhani kama Kuna Private energy company inayolipa vizuri kama Puma, na kufata taratibu na Sheria za kazi.
Kiukweli Mungu awaweke na kuwapa maisha marefu maboss wa PUMA, nyie nimfano mzuri wakuigwa.
Natamani Bakharesa & MO na makampuni mengine yaige namna yakuwapa thaman wafanyakazi wao kama PUMA inavyofanya licha ya mishahara mizuri lakini bado bonus za kutosha.
Wenye PUMA mbarikiwe huko duniani mlipo.
Kwani wewe uko wapi Mkuu?Wenye PUMA mbarikiwe huko duniani mlipo.