The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Pamoja sana kakaMzuqa
Yote yawezekana ukimkabidhi Mungu yo
Ohh reallyYOU WILL NEVER WIN ANYTHING
Xatly!Dua la kuku......................!Dua zako zinawafikiaga vifaranga tu
Hizi picha hazihusiani na mechi ya Leo nini,manake nawaona wachezaji ambao hawatacheza leoMzuqa
Yote yawezekana ukimkabidhi Mungu. Mwenyezi Mungu shuka. Isaidie livaaa ishinde ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya Barca.
Na weekend Mancity ifungwe ama itoke sare na Brighton.
Amen
View attachment 1091117View attachment 1091118
BlackPanther
Upload Burma TV app mkuuMwenye link ya kuangalizia mechi tafadhali aiweke hapa
Poa ndugu asanteUpload Burma TV app mkuu
Karibu mkuu usisahau kuiweka liva mikononi mwa Mwenyezi MunguPoa ndugu asante