Mwenyezi Mungu iwezeshe Liva ifike fainali UEFA

Mwenyezi Mungu iwezeshe Liva ifike fainali UEFA

Ila we Jamaa unaongoza kuomba dua aisee....Jana uliiombea Leicester city ishinde au idroo...dua yako haijapokelewa Leo tena dua imehamia huku......
 
Mzuqa

Yote yawezekana ukimkabidhi Mungu. Mwenyezi Mungu shuka. Isaidie livaaa ishinde ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya Barca.
Na weekend Mancity ifungwe ama itoke sare na Brighton.

Amen
View attachment 1091117View attachment 1091118

BlackPanther


Liverpool ni timu iliyolaaniwa na Sir Alex Ferguson, haiwezi kuchukua kombe lolote mpaka Man Utd irude katika kiwango. Msijidanganye wapenzi wa Liverpool. Nawatakia maumivu mema ya milele, miaka 29 bila ubingwa wa Uingereza, bado 29 mingine. Shetani awabariki.
 
Shehe Yahya. Nitabirie miaka kumi ijayo Tanzania itakuwaje?
 
Back
Top Bottom