Mwenyezi Mungu iwezeshe Liva ifike fainali UEFA

Mwenyezi Mungu iwezeshe Liva ifike fainali UEFA

Dua yako imejibiwa ila hiyo ya Brighton sahau Pep hanaga masihara kwenye mechi zinazoamua kombe linaenda wapi
 
YOU WILL NEVER WIN ANYTHING
Kweli Dua zetu tofauti,Mi naomba mkuu wachezee nyingine 3.
Dua zako zinawafikiaga vifaranga tu
Kama ambavyo Mnyazi Mungu alikuvungia jana, na leo afanye hivyo hivyo

Amen.
Looserfools always loosefools
Haya maombi ni kama yamechelewa vile?? Yangeanza wiki iliyopita matokeo yakiwa 0-0
Leo ndo mwisho wenu

Hamchukui kombe lolote

Aibu inàendelea leo tena
Liverpool ni timu iliyolaaniwa na Sir Alex Ferguson, haiwezi kuchukua kombe lolote mpaka Man Utd irude katika kiwango. Msijidanganye wapenzi wa Liverpool. Nawatakia maumivu mema ya milele, miaka 29 bila ubingwa wa Uingereza, bado 29 mingine. Shetani awabariki.
AIBU YENU, nimewaita wote hapa mle matapishi yenu. Next time mjifunze mpira ni dakika 90. We Will Never Walk Alone.
 
NAMSALIMIA TU ANDUNJE MWENZENU "BLACKPANTHER" MAANA ANA MAHABA SANA KWA MESSI KULIKO HATA MUNGU NA WAZAZI WAKE[emoji113][emoji87]
 
Back
Top Bottom