Mzuqa
Yote yawezekana ukimkabidhi Mungu. Mwenyezi Mungu shuka. Isaidie livaaa ishinde ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya Barca.
Na weekend Mancity ifungwe ama itoke sare na Brighton.
Amen
View attachment 1091117View attachment 1091118
BlackPanther
Yaaaaa this iz Football lolote lawezekana
Duhhh!sijui nyie wafuasi wa Messi mko wapi
Nini wewee mgerasiLeo ndo mwisho wenu
Hamchukui kombe lolote
Aibu inàendelea leo tena
Ila wee Pohamba wewee. Haki ya nani nitafute nitagharamikia futari ya mfungo mzima wewe na familia yakoWanajadili clip ya Gwajima
Kwema mkuuYOU WILL NEVER WIN ANYTHING
UNASEMA?Poleni sana Liverpool kwa majeruhi yaliyowapata kwa Salaha na Ferminho.
Mechi ya leo ni nyepesi sana maana tayari Liverpool kashatolewa kwenye UEFA
Wanajadili clip ya Gwajima
amini usiamini leo nimeamini uchawi upo!!