chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,124
NakusalimiaPoleni sana Liverpool kwa majeruhi yaliyowapata kwa Salaha na Ferminho.
Mechi ya leo ni nyepesi sana maana tayari Liverpool kashatolewa kwenye UEFA
AiseeeLiverpool ni timu iliyolaaniwa na Sir Alex Ferguson, haiwezi kuchukua kombe lolote mpaka Man Utd irude katika kiwango. Msijidanganye wapenzi wa Liverpool. Nawatakia maumivu mema ya milele, miaka 29 bila ubingwa wa Uingereza, bado 29 mingine. Shetani awabariki.
Wameshakimbia hawaamini macho yaoDuhhh!sijui nyie wafuasi wa Messi mko wapi
[emoji41][emoji41]YOU WILL NEVER WIN ANYTHING
YOU WILL NEVER WIN ANYTHING
Kweli Dua zetu tofauti,Mi naomba mkuu wachezee nyingine 3.
Dua zako zinawafikiaga vifaranga tu
Kama ambavyo Mnyazi Mungu alikuvungia jana, na leo afanye hivyo hivyo
Amen.
Looserfools always loosefools
Haya maombi ni kama yamechelewa vile?? Yangeanza wiki iliyopita matokeo yakiwa 0-0
Leo ndo mwisho wenu
Hamchukui kombe lolote
Aibu inàendelea leo tena
AIBU YENU, nimewaita wote hapa mle matapishi yenu. Next time mjifunze mpira ni dakika 90. We Will Never Walk Alone.Liverpool ni timu iliyolaaniwa na Sir Alex Ferguson, haiwezi kuchukua kombe lolote mpaka Man Utd irude katika kiwango. Msijidanganye wapenzi wa Liverpool. Nawatakia maumivu mema ya milele, miaka 29 bila ubingwa wa Uingereza, bado 29 mingine. Shetani awabariki.
Aiseee chalii yangu Kwema?Kweli Dua zetu tofauti,Mi naomba mkuu wachezee nyingine 3.
Aiseee chalii yangu Kwema?Liverpool ni timu iliyolaaniwa na Sir Alex Ferguson, haiwezi kuchukua kombe lolote mpaka Man Utd irude katika kiwango. Msijidanganye wapenzi wa Liverpool. Nawatakia maumivu mema ya milele, miaka 29 bila ubingwa wa Uingereza, bado 29 mingine. Shetani awabariki.
Kwani nlikubishiaAIBU YENU, nimewaita wote hapa mle matapishi yenu. Next time mjifunze mpira ni dakika 90. We Will Never Walk Alone.
Aiseee chalii yangu Kwema?
Aiseee chalii yangu Kwema?
AIBU YENU, nimewaita wote hapa mle matapishi yenu. Next time mjifunze mpira ni dakika 90. We Will Never Walk Alone.