Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako, utaangaliwa tu pengine uambiwe nenda kule na huku.

Na ukitaka kujua angalia kwenye mambo ya passport hapa utaweza kuona ni kwa kiasi gani tumerudi tulikotoka.

Unahitaji pasi ndani ya siku basi weka laki tano unaletewa nyumbani, huna utaambiwe ulete viapo na makaburasha ya bibi yako babu yako na hata wale usio wakumbuka na kama haitoshi lete hati ya kiapo na hapo unapigwa kalenda, migration wamecharuka, Kitu ambacho wakati wa Magu ni jambo la siku mbili tu, jaza fomu weka picha kitambulisho cha Utaifa umemaliza kazi siku ya piili unapokea pasi yako.

Mwenyezi Mungu ametupa somo ambalo inafaa turudi nyuma na kumtaka msamaha,hakuna kama magufuli na dalili sizioni ,ni lazima tuombe tena atupatie kama yey,ye. Vyombo vilivyopo sasa ni vya kusukumana ni vile vya ukimwaga mboga namwaga ugali, wanaogopana, wanalindana , wakati wake akipata fununu tu anafuatilia kiaina siku ya pili unasikia jamaa hana kazi tena mbele za watu na kama haitoshi anakupa data zote ni jinsi gani umehusika katika kuvuruga.

yapo mambo alikuwa na kasoro ila sio yeye ni wale vitimba kwiri wanaotaka sifa na kujipitisha na alikuwa hata hao akiwapatia nafasi huwalipuwa tumeona akina makonda na wengine walikuwa wapo kwenye line zake, tuseme Nchi ilikaa sawa katika utowaji haki kwa kila raia haswa wale aliowaita wanyonge. Na wanaovuruga bado wapo na ndio hawa wanaopandikiza kesi za uongo, kubambikiza ndio wanazidi kuichafua nchi wakiamini wanalinda maslahi yao.

Naamini dua itaitikiwa na kupata mshika gongo mwengine.
 
yapo mambo alikuwa na kasoro ila sio yeye ni wale vitimba kwiri wanaotaka sifa na kujipitisha na alikuwa hata hao akiwapatia nafasi huwalipuwa tumeona akina makonda na wengine walikuwa...
Mimi ningekubaliana nawe kuhusu Magufuli juu ya yale uliyoyataja huko juu na kumlilia.

Lakini ninakuona wewe kuwa mtu wa hovyo kabisa unapojaribu kuvungavunga ushetani mkubwa aliokuwa nao Magufuli. Mimi ninakuona wewe na Magufuli wako kama mashetani tu!

Hamlisaidii kwa chochote taifa hili kwa kunyanyasa wananchi na kuwanyima haki. Hakuna uzuri wowote unaotokana na ukichaa huo.

Kuhusu hawa wanaotuuzia HAKI zetu, hata wao hawana tofauti yoyote na huyo unayemlilia hapa.
 
Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka,rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako,utaangaliwa tu pengine uambiwe neda kule na huku.

Na ukitaka kujua angalia kwenye mambo ya passport hapa utaweza kuona ni kwa kiasi gani tumerudi tulikotoka.

Unahitaji pasi ndani ya siku basi weka laki tano unaletewa nyumbani,huna utaambiwe ulete viapo na makaburasha ya bibi yako babu yako na hata wale usio wakumbuka na kama haitoshi lete hati ya kiapo na hapo unapigwa kalenda,migration wamecharuka, Kitu ambacho wakati wa Magu ni jambo la siku mbili tu,jaza fomu weka picha kitambulisho cha Utaifa umemaliza kazi siku ya piili unapokea pasi yako.

Mwenyezi Mungu ametupa somo ambalo inafaa turudi nyuma na kumtaka msamaha,hakuna kama magufuli na dalili sizioni ,ni lazima tuombe tena atupatie kama yey,ye. Vyombo vilivyopo sasa ni vya kusukumana ni vile vya ukimwaga mboga namwaga ugali ,wanaogopana,wanalindana ,wakati wake akipata fununu tu anafuatilia kiaina siku ya pili unasikia jamaa hana kazi tena mbele za watu na kama haitoshi anakupa data zote ni jinsi gani umehusika katika kuvuruga.

yapo mambo alikuwa na kasoro ila sio yeye ni wale vitimba kwiri wanaotaka sifa na kujipitisha na alikuwa hata hao akiwapatia nafasi huwalipuwa tumeona akina makonda na wengine walikuwa wapo kwenye line zake ,tuseme Nchi ilikaa sawa katika utowaji haki kwa kila raia haswa wale aliowaita wanyonge.Na wanaovuruga bado wapo na ndio hawa wanaopandikiza kesi za uongo,kubambikiza ndio wanazidi kuichafua nchi wakiamini wanalinda maslahi yao.

Naamini dua itaitikiwa na kupata mshika gongo mwengine.
Mungu atuepushe asije kutokea Tena Rais lenye Roho mbaya kwenye Nchi yetu Kama bwana yule
 
Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako,utaangaliwa tu pengine uambiwe neda kule na huku.

Na ukitaka kujua angalia kwenye mambo ya passport hapa utaweza kuona ni kwa kiasi gani tumerudi tulikotoka.

Unahitaji pasi ndani ya siku basi weka laki tano unaletewa nyumbani,huna utaambiwe ulete viapo na makaburasha ya bibi yako babu yako na hata wale usio wakumbuka na kama haitoshi lete hati ya kiapo na hapo unapigwa kalenda,migration wamecharuka, Kitu ambacho wakati wa Magu ni jambo la siku mbili tu,jaza fomu weka picha kitambulisho cha Utaifa umemaliza kazi siku ya piili unapokea pasi yako.

Mwenyezi Mungu ametupa somo ambalo inafaa turudi nyuma na kumtaka msamaha,hakuna kama magufuli na dalili sizioni ,ni lazima tuombe tena atupatie kama yey,ye. Vyombo vilivyopo sasa ni vya kusukumana ni vile vya ukimwaga mboga namwaga ugali, wanaogopana,wanalindana ,wakati wake akipata fununu tu anafuatilia kiaina siku ya pili unasikia jamaa hana kazi tena mbele za watu na kama haitoshi anakupa data zote ni jinsi gani umehusika katika kuvuruga.

yapo mambo alikuwa na kasoro ila sio yeye ni wale vitimba kwiri wanaotaka sifa na kujipitisha na alikuwa hata hao akiwapatia nafasi huwalipuwa tumeona akina makonda na wengine walikuwa wapo kwenye line zake, tuseme Nchi ilikaa sawa katika utowaji haki kwa kila raia haswa wale aliowaita wanyonge. Na wanaovuruga bado wapo na ndio hawa wanaopandikiza kesi za uongo, kubambikiza ndio wanazidi kuichafua nchi wakiamini wanalinda maslahi yao.

Naamini dua itaitikiwa na kupata mshika gongo mwengine.
Na iwe ivo kiongozi
 
Jipigepige kifuani huku ukisema moyoni hakika mimi ni mchawi na ninastahili kuwa kuzimu
 
Eh Mola utuepushe ili kamwe tusipate kiongozi katili kama jiwe. Tunakushukuru kwa jinsi ulivyosikia kilio chetu na ukafanya kitu tarehe 17:03:2021!
 
Ndio maana Wazalendo wa kweli wa nchi hii hatutaacha kumlilia Hayati Rais Magufuli ingawa tunaujua ukweli kuwa hawezi kurudi na tunalazimika kuishi na hawa tulionao sasa!
 
Back
Top Bottom