Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

Watumishi wa umma ulikuwa ukikaona kazee kamevaa yeboyebo mguu wa kushoto nyekundu na kulia ya njano kanahitaji huduma unakanyenyekea na maji ya kunywa unakanunulia maana hujuhi kametumwa na JPM mwenyewe!
Sasa hivi hadi message itoke Msoga hadi magogoni Raha Sana!

Tunaofahamu jinsi nature inavyo-operate tunajua kuwa siku siyo nyingi atakuja JPM version ile ile.
 
Wapo watakao mtukana na kumuita majina ya kila aina lakini wazalendo Wa hili taifa wanajua thamani yake TANZANIA, R.I.P MAGU.

TIME HEALS ALL WOUNDS
Wengi wanaomponda ni wale ndg au wazazi wao walikuwa majizi Magu ajawafyeka mf marehemu fisadi Wilson Kabwe alipotumbuliwa akafa sasa ndg zake hawawezi wakamfurahia Magu. R I P MAGUFULI.
 
Naunga mkono hoja, bila shaka 2025 tutampata Magufuli mwingine. Watu wengi hasa wa kipato cha chini wananung’uka sana juu ya awamu hii ya sita.
 
Viongozi aina ya Magufuli ni nadra kupatikana.Viongozi wazalendo,wachapakazi,wapinga rushwa na wenye uweledi wa hali ya juu katika utendaji ni almasi ambayo ni nadra kupatikana mchangani.Itachukua muda sana kupata kiongozi aina ya Magufuli.Lakini ipo siku atapatikana.
 
Uncle Magu..ooh Uncle Magu.

Hivi kifo hakina kukata rufaa kweli wadau?

Sasa hivi mtaani hatuna hata matumaini ya kupata maendeleo. Wakati wa JPM tuliona maendeleo yanatusogelea Kila Kona. Sasa hivi tupo tu.
Kwenye kaz ya MUNGU hakunaga NEC!
 
Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako,utaangaliwa tu pengine uambiwe neda kule na huku.

Na ukitaka kujua angalia kwenye mambo ya passport hapa utaweza kuona ni kwa kiasi gani tumerudi tulikotoka.

Unahitaji pasi ndani ya siku basi weka laki tano unaletewa nyumbani,huna utaambiwe ulete viapo na makaburasha ya bibi yako babu yako na hata wale usio wakumbuka na kama haitoshi lete hati ya kiapo na hapo unapigwa kalenda,migration wamecharuka, Kitu ambacho wakati wa Magu ni jambo la siku mbili tu,jaza fomu weka picha kitambulisho cha Utaifa umemaliza kazi siku ya piili unapokea pasi yako.

Mwenyezi Mungu ametupa somo ambalo inafaa turudi nyuma na kumtaka msamaha,hakuna kama magufuli na dalili sizioni ,ni lazima tuombe tena atupatie kama yey,ye. Vyombo vilivyopo sasa ni vya kusukumana ni vile vya ukimwaga mboga namwaga ugali, wanaogopana,wanalindana ,wakati wake akipata fununu tu anafuatilia kiaina siku ya pili unasikia jamaa hana kazi tena mbele za watu na kama haitoshi anakupa data zote ni jinsi gani umehusika katika kuvuruga.

yapo mambo alikuwa na kasoro ila sio yeye ni wale vitimba kwiri wanaotaka sifa na kujipitisha na alikuwa hata hao akiwapatia nafasi huwalipuwa tumeona akina makonda na wengine walikuwa wapo kwenye line zake, tuseme Nchi ilikaa sawa katika utowaji haki kwa kila raia haswa wale aliowaita wanyonge. Na wanaovuruga bado wapo na ndio hawa wanaopandikiza kesi za uongo, kubambikiza ndio wanazidi kuichafua nchi wakiamini wanalinda maslahi yao.

Naamini dua itaitikiwa na kupata mshika gongo mwengine.
Mkuu Mungu hapendi ujinga... Acha!
Nchi hii inahitaji mifumo thabiti kuliko watu wanaojimwambafy!
Watu uja na kutokomea kusikojulikana! Mifumo imara itabaki!!
 
Hakuna Magufuli mwingine ndiyo Mungu huyohuyo kampenda zaidi! . Cha maana ni kuweka nchi kwenye mstari wa sheria badala ya kutegemea mtu. Huwezi kuendesha nchi vizuri kwa kutegemea mtu mmoja hapo kuna tatizo kubwa. Watanzania wenyewe ndiyo tatizo. Magu alikosea sana kwa kuwaweka wabunge na watendaji bila kufuata demokrasia sasa katuachia nchi ambayo Rais ni Mungu na Mungu amekataa hili na katuonyesha nani ni Mungu
 
Viongozi aina ya Magufuli ni nadra kupatikana.Viongozi wazalendo,wachapakazi,wapinga rushwa na wenye uweledi wa hali ya juu katika utendaji ni almasi ambayo ni nadra kupatikana mchangani.Itachukua muda sana kupata kiongozi aina ya Magufuli.Lakini ipo siku atapatikana.
Ungelikuwa na maarifa japo kiduchu walahu kama mbegu ya mchicha ungefanya makubwa kulihokoa taifa hili!
 
Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako,utaangaliwa tu pengine uambiwe neda kule na huku.

Na ukitaka kujua angalia kwenye mambo ya passport hapa utaweza kuona ni kwa kiasi gani tumerudi tulikotoka.

Unahitaji pasi ndani ya siku basi weka laki tano unaletewa nyumbani,huna utaambiwe ulete viapo na makaburasha ya bibi yako babu yako na hata wale usio wakumbuka na kama haitoshi lete hati ya kiapo na hapo unapigwa kalenda,migration wamecharuka, Kitu ambacho wakati wa Magu ni jambo la siku mbili tu,jaza fomu weka picha kitambulisho cha Utaifa umemaliza kazi siku ya piili unapokea pasi yako.

Mwenyezi Mungu ametupa somo ambalo inafaa turudi nyuma na kumtaka msamaha,hakuna kama magufuli na dalili sizioni ,ni lazima tuombe tena atupatie kama yey,ye. Vyombo vilivyopo sasa ni vya kusukumana ni vile vya ukimwaga mboga namwaga ugali, wanaogopana,wanalindana ,wakati wake akipata fununu tu anafuatilia kiaina siku ya pili unasikia jamaa hana kazi tena mbele za watu na kama haitoshi anakupa data zote ni jinsi gani umehusika katika kuvuruga.

yapo mambo alikuwa na kasoro ila sio yeye ni wale vitimba kwiri wanaotaka sifa na kujipitisha na alikuwa hata hao akiwapatia nafasi huwalipuwa tumeona akina makonda na wengine walikuwa wapo kwenye line zake, tuseme Nchi ilikaa sawa katika utowaji haki kwa kila raia haswa wale aliowaita wanyonge. Na wanaovuruga bado wapo na ndio hawa wanaopandikiza kesi za uongo, kubambikiza ndio wanazidi kuichafua nchi wakiamini wanalinda maslahi yao.

Naamini dua itaitikiwa na kupata mshika gongo mwengine.
Yule Mzee ibilisi Inafaa Kaburi lake liteketezwe Kwa Moto ama Lipigwe Bomu lilipuke Completely asije akarudi tena
 
Viongozi aina ya Magufuli ni nadra kupatikana.Viongozi wazalendo,wachapakazi,wapinga rushwa na wenye uweledi wa hali ya juu katika utendaji ni almasi ambayo ni nadra kupatikana mchangani.Itachukua muda sana kupata kiongozi aina ya Magufuli.Lakini ipo siku atapatikana.
Mpinga rushwa anaejenga uwanja wa ndege kijijini kwao Kwa kampuni yake?

Jinga kabisa
 
Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako,utaangaliwa tu pengine uambiwe neda kule na huku.

Na ukitaka kujua angalia kwenye mambo ya passport hapa utaweza kuona ni kwa kiasi gani tumerudi tulikotoka.

Unahitaji pasi ndani ya siku basi weka laki tano unaletewa nyumbani,huna utaambiwe ulete viapo na makaburasha ya bibi yako babu yako na hata wale usio wakumbuka na kama haitoshi lete hati ya kiapo na hapo unapigwa kalenda,migration wamecharuka, Kitu ambacho wakati wa Magu ni jambo la siku mbili tu,jaza fomu weka picha kitambulisho cha Utaifa umemaliza kazi siku ya piili unapokea pasi yako.

Mwenyezi Mungu ametupa somo ambalo inafaa turudi nyuma na kumtaka msamaha,hakuna kama magufuli na dalili sizioni ,ni lazima tuombe tena atupatie kama yey,ye. Vyombo vilivyopo sasa ni vya kusukumana ni vile vya ukimwaga mboga namwaga ugali, wanaogopana,wanalindana ,wakati wake akipata fununu tu anafuatilia kiaina siku ya pili unasikia jamaa hana kazi tena mbele za watu na kama haitoshi anakupa data zote ni jinsi gani umehusika katika kuvuruga.

yapo mambo alikuwa na kasoro ila sio yeye ni wale vitimba kwiri wanaotaka sifa na kujipitisha na alikuwa hata hao akiwapatia nafasi huwalipuwa tumeona akina makonda na wengine walikuwa wapo kwenye line zake, tuseme Nchi ilikaa sawa katika utowaji haki kwa kila raia haswa wale aliowaita wanyonge. Na wanaovuruga bado wapo na ndio hawa wanaopandikiza kesi za uongo, kubambikiza ndio wanazidi kuichafua nchi wakiamini wanalinda maslahi yao.

Naamini dua itaitikiwa na kupata mshika gongo mwengine.
Ulaaniwe
 
Yule mzee kama Mungu alitupa laana.. Magu alikuwa zaidi ya shetani
Basi hauko sawa kabisa . Kama alikua shetani wewe nani? Jifunze kuzungumza vizuri acha chuki bwana toa hoja na hata kama alikosea atarudi arekebishe makosa never jirekebishe wewe na kauli zako mbovu
 
Back
Top Bottom