mwadu boy
Member
- Oct 10, 2021
- 53
- 27
Ni chuki ndo inakuongoza kusema unachokisema hamna jingine unabisha?Mimi ningekubaliana nawe kuhusu Magufuli juu ya yale uliyoyataja huko juu na kumlilia.
Lakini ninakuona wewe kuwa mtu wa hovyo kabisa unapojaribu kuvungavunga ushetani mkubwa aliokuwa nao Magufuli. Mimi ninakuona wewe na Magufuli wako kama mashetani tu!
Hamlisaidii kwa chochote taifa hili kwa kunyanyasa wananchi na kuwanyima haki. Hakuna uzuri wowote unaotokana na ukichaa huo.
Kuhusu hawa wanaotuuzia HAKI zetu, hata wao hawana tofauti yoyote na huyo unayemlilia hapa.