Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine


Siujitokeze hadharani useme haya unayoongea hapa..nenda kkoo beba kipaza sauti uanze kumwaga nondo against JPM….ndio tutajua ukweli kuhusu haya unayosema…mpaka sasa sijaona kiongozi aliesimama hadharani na kumkashifu JPM…sio Afrika hata ulaya…

Ni nyie tu huku vyeti feki, vibaraka vya mabeberu,wapiga dili mtaani ndio mnatoa mapovu…na mzimu wake utazidi kuwaandama…
 

Mkuu timu ya Biashara ilishindwa kwenda Libya kwasababu gani
 
Mataahira ya pale ufipa yanatakiwa kwenda kwa fimbo siyo kwa kubembelezwa
 
Anaweza hata akatokea upinzani,Magu aliiweza nchi ,hakuna asiejua,wengi waliwajibika katika kutekeleza majukumu yao na kwa ufanisi mkubwa sana,wanyonge tulikuwa huru kwa mara ya kwanza ndani ya nhi yetu hii pendwa,ila naona sasa treni inaelekea kuacha njia.
 
Kariakoo ndiyo nini? Mimi hata Chato kwenye kaburi lake nakwenda

Hilo DUBWASHA unalilisifia kwa Tanzania likikuwa Moja tu. Nalo liliingia kwa bahati mbaya toka Burundi. Baada ya kulizika pale Chato mnamo tarehe 27/ 03/ 21, Tanzania imekuwa kama imepata Uhuru wa pili

Hakika nasema Mtanzania halisi hawezi kuwa na chuki ambayo Magufuli alikuwa nayo dhidi ya Watanzania.

Kwa wanaomoenda nawashauri wamfuate huko kuzimu, hamna namna
 
Kwanini kwenye mambo ya hovyo mnapenda kutumia wingi? Yaani jiwe unamwona Rais bora? Ndiyo maana hata Gwajiboy ana waumini.
mara nyingi watu waliokua wanaishi ki'geto geto(namaanisha hawana familia) walikua hawaoni umuhimu wa Rais Magufuli ila sisi ndio tunajua kua tulimpoteza kiongozi bora ambaye hatatokea tena Tz hii
 
Kha! Yaani hata mwaka haujapita...
 
Kwani huyu wa sasa hatoshi?
 
Mungu aepushie mbali
 
Sabaya ananyea debe ngoja nikukumbushe tar 17.03.2021 Mungu aliamua kutuondolea mateso makubwa sana. Jina la bwana lihimidiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…