Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

Una laana wewe na matamanio ya kuwarudisha watu kwenye moto wa jahanam katika mgongo wa dunia
 
Kukosa shukrani ni dhambi inayozitesa nafsi za watanzania wengi. Ukikaa nao kwa mfano unaangalia mpira utasikia maoni hasi mwanzo mpaka mwisho wa mechi.

JPM anayekumbukwa hivi sasa ni yule yule ambaye aliambiwa haendi Ulaya kwa sasa kingereza chake ni kibovu. Ndiye yule yule aliyetukanwa matusi ya kila aina humu JF na watu wasio na mishipa ya aibu!.

Leo wanamkumbuka hayati JPM bIla hata ya aibu. Ni dalili ya kutojua kama taifa tunataka nini. Dalili ya upungufu wa fikra za ndani kabisa juu ya namna nchi yetu inavyoongozwa.
 
vick kamatta.
Huyu ni nani, nimeanza kumsikia hivi karibuni tu humu!

Na wewe mkuu 'mkorinto', kuwepo kwako miaka na miaka humu JF, ina maana huna lolote unalojifunza humu, hata kama sehemu kubwa ni upuuzi mnaoujaza humu kutwa nzima?
 
Acha UZUZU
 
Amina
 
Magu alikuwa ni shetwani, hakustahili hata kupuliziwa pumzi ya uhai!! Kaumiza watu wengi sana yule jamaa, shida nyingine anazokutana nazo Samia zinatokana na utawala wa kishamba wa jamaa! Hatutakuja kuweka tena Rais wa aina yake, never! Lilikuwa kosa, tulilirekebisha March, hatutorudia tena
 
Mkuu 'micho', ukiondoa polisi (tena siyo kwa utashi wao basi) na vyombo vingine vya ukandamizaji, usidhani Magufuli kwa matendo yake yale ya kishetani yalimpa sifa yoyote kwa wananchi!

Lakini jaribu kutofautisha, yale matendo mazuri ambayo yangempa sifa unazoota hapa leo (hata nami ningempenda); hayo matendo aliyachafua mwenyewe na kuyafanya yasiwe na maana yoyote.

Kwa hiyo usitishe watu hapa kwa kudhani kwamba kuna waTanzania ambao walipendezwa na ushetani aliokuwa nao kiongozi huyo.

Haieleweki kwa nini alipenda kufanya matendo ya namna ile ambayo kiuhakika yalimnyima haki ya kuheshimika.
 
kama umeombwa Rushwa na mtumishi yeyote wa umma ktk idara yoyote ya Serikali Toa taarifa mara moja ktk Ofisi za TAKUKURU
wananchi toeni taarifa TAKUKURU
 

It had to be done aisee…hii nchi ilifanywa shamba la bibi…

JPM ni maana halisi ya transformation…

The guy was transforming madudu yote unayojua wewe kwa nguvu zake zote…sasa km hukumuelewa pole…wenzako wali learn the hard way…alikuwa hana muda wakukuelezea anamaanisha nini miaka kumi kwake aliona haitamtosha…maana kwa kifupi asilimia kubwa ya watanzania are ignorant hata waliomzunguka walichukua muda kumuelewa na ni wachache walimuelewa…business as usual oooh sheria oooh sio vizuri lakini kupiga bilioni ni vizuri huku watanzania wanakufa hospitalini kwa kukosa dawa na saa nyingine hata kufika hospitalini mpaka uvuke mto uliwe na mamba…

Halafu unasema shetani kwa nani kwako unaemkwamisha kutimiza malengo yake ya kulift up maisha ya wa watanzania… naenda hv wewe unaenda hivi kisa mazoea na elimu yako ya mkoloni…he would simply cut you off…hata sisimizi wanakufa kila siku…km wanalamba sukari na binadamu anahitaji kuweka kwa chai wanakufa…

It is a game of life Cahpeesh
 
Maelezo yote ni utumbo tu. Unayemsifia kuwa alikuwa mjuaji ndiye aliyeharibu biashara ya korosho Mtwara na Lindi.

Ndiye alikuwa anaua wakosoaji akina Ben Saanane na Azory Gwanda na kumshambulia Lissu kwa risasi 16.

Unayemsifia ndiye aliyetumia kodi za umma kujenga miundombinu mikubwa Kijijini kwake Chato. Ambayo ni hasara kwa sasa. Na ndiye mwizi wa Tsh Trillion 2.4 ambazo CAG Prof Assad alihoji na alifukuzwa kazi
 


Pole
 
It had to be done aisee…hii nchi ilifanywa shamba la bibi…

JPM ni maana halisi ya transformation…
Alikuwa na nafasi nzuri sana ya kufanya hivyo; to be a "transformative" leader, in the same lines of Edward Sokoine na Mwalimu Nyerere. But, alas, he blew it!
It's simply mind boggling to imagine why he involved himself in those sideshows which were in large part unrelated to the transformative work he wanted to achieve.
A leader cannot be 'transformative' by denying voters to chose their leaders freely, for example! That 2020 election was not an election by any standard of an election! But, why did he need to do what he did, when he was doing the things that people approved?
 

Jiongeze utamuelewa tu…haihitaji haraka ni polepole tu…km sio wewe watoto wako…
 
Katika haya uliyoandika hapa, ni wazi huna fikra nzuri. Nitaachia hapo.

Oooh, yeah, "hata sisimizi wanakufa kila siku"; no wonder, hata yeye amekufa kwa kiburi chake cha kipumbavu, and thank God for the good of Tanzania!

Unasema "...asili mia kubwa ya waTanzania are ignorant...", je ndio hao unaowasema walioko Kariakoo, au wapo wengine? Kama ndio hao, na u'ignorance' wao unadhani wana habari na huyo shetani wako tena saa hizi?
Mbona unaelekea kama hazikutoshi mkuu, kutambua unachokizungumzia?

Sasa iliyobaki ni hawa wapuuzi waliopo wanaotupeleka upande wa pili!
 
Semeni na kuropoka ni yale makelele ya yule jibwa koko,linabweka sana sana ukipiga marktime kwa nguvu linakimbia na kutokomea kusiko julikana.
Nyie mnaomtukana na kumponda Magufuli itakuwa mna ukosefu wa lishe na ubongo wenu hauoni mbali zaidi ya sahani ya chakula iliyopo mbele yako ,kwa maana Magufuli alifanikiwa kwa asili mia miamoja kuibana mirija yenu na ikawa hamwuwezi kupumua ,sasa mmeanza kufunguwa mbawa na mnaona njia ya ulaji nyeupe.

Mheshimiwa Magu alifanikiwa kuziba kila shimo la mapato yenu ya njia za haramu na ndio aliweza kujenga matumaini makubwa kwa wananchi wanyonge ,ambao walianza kung'aa kwa hicho hicho kidogo kiliwatosha wao na watoto wao ,walikula na kusaza.

Leo hali iliyopo ni ya kufukuzana na yote hii ili tusikufukuze tuachie chochote uendelee ,njia za kula zimeanza kufunguka. Nchi inaelekea tulikotoka wazungu kitaalamu wanaita U-TURN ,lakini sio hivyo tu Tanzania sasa inachukuwa Wrong Turn.
 
Mungu aliiepusha Tanzania mikononi mwa dubwasha lenye USHAMBA wa kula mahindi barabarani na kununua jogoo. Nani anataka ule ujinga urudi tena?

Rais alikuwa na mdomo mchafu kama choo cha sokoni kutwa kuropoka kwenye majukwaa, nani anataka takataka ile tena? Go to hell as well
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…