Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

Hicho ndiyo kichaa sasa. Umeambiwa mashine inapima sampuli za chembechembe za binadamu, wewe unapeleka mapapai, na bado unategemea ikupe majibu?? Hiyo ni matope siyo akili

You don’t know what you don’t know…

Hivi una watoto..km huu ujinga unawaelezea watoto wako kuna siku wewe ndio utatukanwa kwa kaburi lako…
 
Alikuwa hafai, alikuwa saddist.

Kukuua hakuona tabu, Lissu kaponea chupuchupu. Ben Saanane hakupata bahati hiyo.

Kawavuruga wakulima wa korosho, kawatia hasara tele, kisha akapora fedha za wafanyabiashara wa bureau de change, usishau kuchungulia account za watu benki na kupiga pini pesa kama account zimenona.

Bila kusahau kupora chaguzi, kuanzia zile za marudio, serikali za mitaa mwaka 2019 na uchaguzi mkuu 2020, kununua wapinzani, kuingilia bunge na kuliweka mfukoni na kuua freedom ya press.

Usisahau na mauongo ya karne, ya kupika Takwimu

Alikuwa hafai yule mtu, alikuwa mharibifu
Ukweli mtupu huu.
Wajinga hawaangalii haya,walikubali kudanganyawa.
 
Semeni na kuropoka ni yale makelele ya yule jibwa koko,linabweka sana sana ukipiga marktime kwa nguvu linakimbia na kutokomea kusiko julikana.
Nyie mnaomtukana na kumponda Magufuli itakuwa mna ukosefu wa lishe na ubongo wenu hauoni mbali zaidi ya sahani ya chakula iliyopo mbele yako ,kwa maana Magufuli alifanikiwa kwa asili mia miamoja kuibana mirija yenu na ikawa hamwuwezi kupumua ,sasa mmeanza kufunguwa mbawa na mnaona njia ya ulaji nyeupe.

Mheshimiwa Magu alifanikiwa kuziba kila shimo la mapato yenu ya njia za haramu na ndio aliweza kujenga matumaini makubwa kwa wananchi wanyonge ,ambao walianza kung'aa kwa hicho hicho kidogo kiliwatosha wao na watoto wao ,walikula na kusaza.

Leo hali iliyopo ni ya kufukuzana na yote hii ili tusikufukuze tuachie chochote uendelee ,njia za kula zimeanza kufunguka. Nchi inaelekea tulikotoka wazungu kitaalamu wanaita U-TURN ,lakini sio hivyo tu Tanzania sasa inachukuwa Wrong Turn.
Toka apa

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako, utaangaliwa tu pengine uambiwe nenda kule na huku.

Na ukitaka kujua angalia kwenye mambo ya passport hapa utaweza kuona ni kwa kiasi gani tumerudi tulikotoka.

Unahitaji pasi ndani ya siku basi weka laki tano unaletewa nyumbani, huna utaambiwe ulete viapo na makaburasha ya bibi yako babu yako na hata wale usio wakumbuka na kama haitoshi lete hati ya kiapo na hapo unapigwa kalenda, migration wamecharuka, Kitu ambacho wakati wa Magu ni jambo la siku mbili tu, jaza fomu weka picha kitambulisho cha Utaifa umemaliza kazi siku ya piili unapokea pasi yako.

Mwenyezi Mungu ametupa somo ambalo inafaa turudi nyuma na kumtaka msamaha,hakuna kama magufuli na dalili sizioni ,ni lazima tuombe tena atupatie kama yey,ye. Vyombo vilivyopo sasa ni vya kusukumana ni vile vya ukimwaga mboga namwaga ugali, wanaogopana, wanalindana , wakati wake akipata fununu tu anafuatilia kiaina siku ya pili unasikia jamaa hana kazi tena mbele za watu na kama haitoshi anakupa data zote ni jinsi gani umehusika katika kuvuruga.

yapo mambo alikuwa na kasoro ila sio yeye ni wale vitimba kwiri wanaotaka sifa na kujipitisha na alikuwa hata hao akiwapatia nafasi huwalipuwa tumeona akina makonda na wengine walikuwa wapo kwenye line zake, tuseme Nchi ilikaa sawa katika utowaji haki kwa kila raia haswa wale aliowaita wanyonge. Na wanaovuruga bado wapo na ndio hawa wanaopandikiza kesi za uongo, kubambikiza ndio wanazidi kuichafua nchi wakiamini wanalinda maslahi yao.

Naamini dua itaitikiwa na kupata mshika gongo mwengine.

HIZO NI LAANA ZA KUIVAMIA ZANZIBAR

Maana mnaendelea kuikumbatia nchi ya watu na kuuwa na kumwaga damu zao , hamna moja mtakalolipata , zaidi ya mateso na kudhalilika.

Karma itaendelea kuwatafuna siku zote
 
You don’t know what you don’t know…

Hivi una watoto..km huu ujinga unawaelezea watoto wako kuna siku wewe ndio utatukanwa kwa kaburi lako…
Nina watoto na wajukuu na Nina akili inayojitegemea siyo kama wewe msukule ambaye unamuabudu Dikteta wa Chato
 
kuna watu sijui mnatutafutia sababu tuwatukane tupigwe ban?
Kuna watu wajinga sana hii nchi yaani hili taifa dah yaani kweli ccm itatawala milele .Nyerere alipokwenda Kenya akamwambia Mzee Kenyata unawatala vipofu Mzee Kenyata akamjibu ww unatawala Maiti kweli kabisa Wa Tz ni Maiti sana.
 
Nina watoto na wajukuu na Nina akili inayojitegemea siyo kama wewe msukule ambaye unamuabudu Dikteta wa Chato

Ungekuwa na akili inayojitegemea JPM wouldn’t bother you…
 
Kwa taarifa yako huyo DIKTETA hatutompimzisha, lazima tuendelee kuanika ushetani wake mpaka wenye akili waelewe.

Mtabakia misukule tu akina Micho
 
Ok toka hadharani basi mkuu uelimishe umma ushetani wake…unaeza ukawa therapist wetu maana tumevurugwa hatari kesho yetu hatuijui kiza kinene na hatujui tunaponaje labda utatusaidia kubeba maumivu yetu…chagua njoo mwenge, kkoo hata Chato tutakuwa pamoja na wewe kusikiliza nondo zako….
 
Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako, utaangaliwa tu pengine uambiwe nenda kule na huku.

Na ukitaka kujua angalia kwenye mambo ya passport hapa utaweza kuona ni kwa kiasi gani tumerudi tulikotoka.

Unahitaji pasi ndani ya siku basi weka laki tano unaletewa nyumbani, huna utaambiwe ulete viapo na makaburasha ya bibi yako babu yako na hata wale usio wakumbuka na kama haitoshi lete hati ya kiapo na hapo unapigwa kalenda, migration wamecharuka, Kitu ambacho wakati wa Magu ni jambo la siku mbili tu, jaza fomu weka picha kitambulisho cha Utaifa umemaliza kazi siku ya piili unapokea pasi yako.

Mwenyezi Mungu ametupa somo ambalo inafaa turudi nyuma na kumtaka msamaha,hakuna kama magufuli na dalili sizioni ,ni lazima tuombe tena atupatie kama yey,ye. Vyombo vilivyopo sasa ni vya kusukumana ni vile vya ukimwaga mboga namwaga ugali, wanaogopana, wanalindana , wakati wake akipata fununu tu anafuatilia kiaina siku ya pili unasikia jamaa hana kazi tena mbele za watu na kama haitoshi anakupa data zote ni jinsi gani umehusika katika kuvuruga.

yapo mambo alikuwa na kasoro ila sio yeye ni wale vitimba kwiri wanaotaka sifa na kujipitisha na alikuwa hata hao akiwapatia nafasi huwalipuwa tumeona akina makonda na wengine walikuwa wapo kwenye line zake, tuseme Nchi ilikaa sawa katika utowaji haki kwa kila raia haswa wale aliowaita wanyonge. Na wanaovuruga bado wapo na ndio hawa wanaopandikiza kesi za uongo, kubambikiza ndio wanazidi kuichafua nchi wakiamini wanalinda maslahi yao.

Naamini dua itaitikiwa na kupata mshika gongo mwengine.
Yaani awajalie watanzania kiongozi muuaji?
Embu tuacheni bwana .
Mliyofanya na yule jahili wenu yanatosha
 
Ok toka hadharani basi mkuu uelimishe umma ushetani wake…unaeza ukawa therapist wetu maana tumevurugwa hatari kesho yetu hatuijui kiza kinene na hatujui tunaponaje labda utatusaidia kubeba maumivu yetu…chagua njoo mwenge, kkoo hata Chato tutakuwa pamoja na wewe kusikiliza nondo zako….
Kamfufue
 
Nyie akina Micho hakuna tiba yenu. Subirini kufa na kufukiwa tu kama huyo shetani wenu
 
Mimi ningekubaliana nawe kuhusu Magufuli juu ya yale uliyoyataja huko juu na kumlilia.

Lakini ninakuona wewe kuwa mtu wa hovyo kabisa unapojaribu kuvungavunga ushetani mkubwa aliokuwa nao Magufuli. Mimi ninakuona wewe na Magufuli wako kama mashetani tu!

Hamlisaidii kwa chochote taifa hili kwa kunyanyasa wananchi na kuwanyima haki. Hakuna uzuri wowote unaotokana na ukichaa huo.

Kuhusu hawa wanaotuuzia HAKI zetu, hata wao hawana tofauti yoyote na huyo unayemlilia hapa.
Mungu ametenda .
 
Mungu AKULAANI wewe unaetaka kuturudishia shida ambazo kwa huruma ya ke ametegua mafiga ili sumu imwagike,kama unapenda shida tulizopitia basi nawe tukuombee umfuaye huko aliko.
Mungu ni mkuu, hakika ametenda Jambo.
 
Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako, utaangaliwa tu pengine uambiwe nenda kule na huku.

Na ukitaka kujua angalia kwenye mambo ya passport hapa utaweza kuona ni kwa kiasi gani tumerudi tulikotoka.

Unahitaji pasi ndani ya siku basi weka laki tano unaletewa nyumbani, huna utaambiwe ulete viapo na makaburasha ya bibi yako babu yako na hata wale usio wakumbuka na kama haitoshi lete hati ya kiapo na hapo unapigwa kalenda, migration wamecharuka, Kitu ambacho wakati wa Magu ni jambo la siku mbili tu, jaza fomu weka picha kitambulisho cha Utaifa umemaliza kazi siku ya piili unapokea pasi yako.

Mwenyezi Mungu ametupa somo ambalo inafaa turudi nyuma na kumtaka msamaha,hakuna kama magufuli na dalili sizioni ,ni lazima tuombe tena atupatie kama yey,ye. Vyombo vilivyopo sasa ni vya kusukumana ni vile vya ukimwaga mboga namwaga ugali, wanaogopana, wanalindana , wakati wake akipata fununu tu anafuatilia kiaina siku ya pili unasikia jamaa hana kazi tena mbele za watu na kama haitoshi anakupa data zote ni jinsi gani umehusika katika kuvuruga.

yapo mambo alikuwa na kasoro ila sio yeye ni wale vitimba kwiri wanaotaka sifa na kujipitisha na alikuwa hata hao akiwapatia nafasi huwalipuwa tumeona akina makonda na wengine walikuwa wapo kwenye line zake, tuseme Nchi ilikaa sawa katika utowaji haki kwa kila raia haswa wale aliowaita wanyonge. Na wanaovuruga bado wapo na ndio hawa wanaopandikiza kesi za uongo, kubambikiza ndio wanazidi kuichafua nchi wakiamini wanalinda maslahi yao.

Naamini dua itaitikiwa na kupata mshika gongo mwengine.
Nakubaliana nawe ila mafisi na mafisadi waliojaa humu hawataki kusikia hili. Hivyo, watakuwakia kweli kweli mwanangu. Ila wadharau na umethubutu angalau kueleza ukweli huu. Tanzania has gone to the dogs. Thanks for spitting it out clearly.
 
Kuna watu wana miaka miwili wanasubiria vitambulisho vya NIDA, mambo hayajawahi kubadilika sana kama unavyofikiri. Wewe itakuwa mwaka huu ndio umeomba passport.
Mkuu mm nina miaka mitatu sijapata haya ya rushwa yaliķuwepo lakini hakukuwa na uhuru wa habari
 
Back
Top Bottom