Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Tuwekee picha kwanza sio kuloweka lowekaMsaada wakuu naona hapa mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa?
Ni kama aliwahi kuwa na vipele vikubwavikubwa vikapona. Mule kulikokuwa na vipele kumebaki madoa meusi kama amezimiwa sigara. ni mwili mzima.
Eti wakuu kitaalamu hii imekaaje?
Chukulia ingekuwa ni wewe unapiga au?
Kama aliumwa tete kuwanga ni kawaida
Mm sijawah umwa hiyo ktu kwahyo nikiumwa now utasemaje, magonjwa hayana formula kakaMmhh , tete kuwanga ya utu uzima ni safari ya parapanda
Mimi niliugua Tetekuwanga,mke wangu aliuguwa akiwa mjamzito,ni kawaida sanaMmhh , tete kuwanga ya utu uzima ni safari ya parapanda
Umeviona leo?si mmekua kwenye mahusiano kwa muda?na ukimuuliza anasemaje au unaogopa kumuulizaMsaada wakuu naona hapa mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa?
Ni kama aliwahi kuwa na vipele vikubwavikubwa vikapona. Mule kulikokuwa na vipele kumebaki madoa meusi kama amezimiwa sigara. ni mwili mzima.
Eti wakuu kitaalamu hii imekaaje?
Chukulia ingekuwa ni wewe unapiga au?
Mpe pole shemejiView attachment 3329839
Ni dizaini kama huyo amepostiwa na mdau nelly hapo post #11Tuwekee picha kwanza sio kuloweka loweka
Ndo tumeanza mahusiano kiongozi tuna wiki 2 sasasi mmekua kwenye mahusiano kwa muda?
Alafu wenye madoadoa hivi wanajua kuzagamuana kama mashine sijui kwanini... Usipige kavu kwanza nendeni mkacheck afya zenuMpe pole shemejiView attachment 3329839
Nenda kapimeni tuu mkuu huwenda ikawa ni alipata changamoto ya ngozi ama ugonjwa uliomuacha na hizo alama!!!Ndo tumeanza mahusiano kiongozi