Mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa?

Mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa?

Msaada wakuu naona hapa mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa?

Ni kama aliwahi kuwa na vipele vikubwavikubwa vikapona. Mule kulikokuwa na vipele kumebaki madoa meusi kama amezimiwa sigara. ni mwili mzima.

Eti wakuu kitaalamu hii imekaaje?

Chukulia ingekuwa ni wewe unapiga au?
Brazaaa kwani humu wanafanya vipimoo?Hebu mkamwone daktari wenu .Hakuna vipimo vya macho.
 
Mkuu kwani hukusikia alichosema Donald yohana trump kuhusu zile tembe?
 
Mimi nilishawahi kutana na dem ako hivo hivo ila kiroho mbaya nikapita nae tena bila kizuizi but haikuwa tatizo kubwa so acha uoga mkuu
 
Mimi nilishawahi kutana na dem ako hivo hivo ila kiroho mbaya nikapita nae tena bila kizuizi but haikuwa tatizo kubwa so acha uoga mkuu
sawa kiongozi ngoja tuskize na wengine wanasemaje
 
Pimeni mkuu, unaweza kuta yeye ndo anapaswa kuwa na hofu.
 
kwavp mkuu toa mwongozo wako kiongozi
Kuna ulinzi wa asili ambao Mungu humpa mja wake kutokana na situation Fulani fulani!!

"Upo chumbani na manzi dushe likazima kisa kutoridhika na Hali Fulani Fulani,ujue ni ulinzi huo mungu anakulinda!!ukilazimisha ujue hatari inakuhusu!!

Hadi unakuja hapa kuomba ushauri ujue Mungu anakilinda na una hofu ya Mungu ,Anza kutoeleweka kabisa atakuacha mwenyewe!!
 
eti eeh?
 
Kuna mahali tulienda kwenye sherehe., mkoa wa jirani,,,, ile kujichanganya na vibe nikapata lamdada flan la haja ,,,! Kuja kwenda ndan kunivulia mapaja yote yameungua, akikuchanulia mjomba analala kwa zile alama sijui niite mabaka Baka,,,!!

Nilijifanya nimepatwa na tumbo la kuhara na mchezo uliahirishwa, nilitumia akili sana, nikampooza chochote kitu ikawa imeisha ivo !

Nilikuwa na uwezo wa kula na mpira kwa uangalifu hata kimoja tu cha mkwezi bado utelezi ukiwepo lakini akili iligoma, hata jamaa hakakamai vizuri kwa ajili ya hofu! Fanya kile akili yako inakutuma, ukiona vipi hayo mabaka baka hujayaelewa muache kistaarabu pasipo kumuumiza kihisia !
KWa wale walokole ambao hawali tunda kimashihara kabla ya ndoa mpk wafunge ndoa ikitokea hivyo sijui wanafanaye na mzigo usha oa tyr😇
 
Back
Top Bottom