Mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa?

Mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa?

Chui huyo epuka kumiliki nyara za serikali eti zinavutia na madoadoa oooh utauponza
 
Msaada wakuu naona hapa mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa?

Ni kama aliwahi kuwa na vipele vikubwavikubwa vikapona. Mule kulikokuwa na vipele kumebaki madoa meusi kama amezimiwa sigara. ni mwili mzima.

Eti wakuu kitaalamu hii imekaaje?

Chukulia ingekuwa ni wewe unapiga au?
Una moyo mgumu wa zinaa kama fisi jike anayenyonyesha achana naye
 
Ndo tumeanza mahusiano kiongozi tuna wiki 2 sasa
Unampenda kwa kiasi gani?kama unampenda hilo sio tatizo na pia unaweza muuliza yaliomkuta siajabu yeye anaona amepata mtu uliekubali kumvumilia na hiyo hali ,maana mwanamke na mwili wake huwa hawapendi kutudisapoint wanapenda kuona tunawpenda jinsi walivyo so hapo anakupenda kuona umekubaliana na hali pasipo yeye kujua kumbe wewe unahangaika kujua alipatwa na nini,tafuta muda muulize direct
 
Hilo si tatizo,, itakua alipata Tete kuwanga lakini baada ya kupona hakupata dawa ya kutoa hizo alama .
Fanya maamuzi kama unampenda endelea nae na kama huna amani nendeni mkapime afya zenu ..
Ushauri;
Magonjwa ya zinaa hayapimwi kwa macho wa alama... Kuna watu Wana magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi ukiwaangalia kwa macho huwezi amini.
 
Back
Top Bottom