Brazaaa kwani humu wanafanya vipimoo?Hebu mkamwone daktari wenu .Hakuna vipimo vya macho.Msaada wakuu naona hapa mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa?
Ni kama aliwahi kuwa na vipele vikubwavikubwa vikapona. Mule kulikokuwa na vipele kumebaki madoa meusi kama amezimiwa sigara. ni mwili mzima.
Eti wakuu kitaalamu hii imekaaje?
Chukulia ingekuwa ni wewe unapiga au?
Acha kumtisha.Kama umepiga peku Umeishaaaaa
mkuu humu kuna wataalam wa kila aina. wew kama haujui piga kimya tu.Brazaaa kwani humu wanafanya vipimoo?Hebu mkamwone daktari wenu .Hakuna vipimo vya macho.
mkuu unataka kwenda wapi?Si mbaliii
karibuuuuu
Tutafika na siisi hukoo
ameongelea ivo vipele vinavyoacha madoa au?Mkuu kwani hukusikia alichosema Donald yohana trump kuhusu zile tembe?
sawa kiongozi ngoja tuskize na wengine wanasemajeMimi nilishawahi kutana na dem ako hivo hivo ila kiroho mbaya nikapita nae tena bila kizuizi but haikuwa tatizo kubwa so acha uoga mkuu
kwavp mkuu toa mwongozo wako kiongoziUzi unaogopesha huu hadi tumbo la kuhara aiseh!!
Kuna ulinzi wa asili ambao Mungu humpa mja wake kutokana na situation Fulani fulani!!kwavp mkuu toa mwongozo wako kiongozi
Haahaa haya kiongoziPimeni mkuu, unaweza kuta yeye ndo anapaswa kuwa na hofu.
eti eeh?Kuna ulinzi wa asili ambao Mungu humpa mja wake kutokana na situation Fulani fulani!!
"Upo chumbani na manzi dushe likazima kisa kutoridhika na Hali Fulani Fulani,ujue ni ulinzi huo mungu anakulinda!!ukilazimisha ujue hatari inakuhusu!!
Hadi unakuja hapa kuomba ushauri ujue Mungu anakilinda na una hofu ya Mungu ,Anza kutoeleweka kabisa atakuacha mwenyewe!!
KWa wale walokole ambao hawali tunda kimashihara kabla ya ndoa mpk wafunge ndoa ikitokea hivyo sijui wanafanaye na mzigo usha oa tyr😇Kuna mahali tulienda kwenye sherehe., mkoa wa jirani,,,, ile kujichanganya na vibe nikapata lamdada flan la haja ,,,! Kuja kwenda ndan kunivulia mapaja yote yameungua, akikuchanulia mjomba analala kwa zile alama sijui niite mabaka Baka,,,!!
Nilijifanya nimepatwa na tumbo la kuhara na mchezo uliahirishwa, nilitumia akili sana, nikampooza chochote kitu ikawa imeisha ivo !
Nilikuwa na uwezo wa kula na mpira kwa uangalifu hata kimoja tu cha mkwezi bado utelezi ukiwepo lakini akili iligoma, hata jamaa hakakamai vizuri kwa ajili ya hofu! Fanya kile akili yako inakutuma, ukiona vipi hayo mabaka baka hujayaelewa muache kistaarabu pasipo kumuumiza kihisia !
Hivi seriously walokole hadi ndoa hawaonjani ? Hatari sana hiiKWa wale walokole ambao hawali tunda kimashihara kabla ya ndoa mpk wafunge ndoa ikitokea hivyo sijui wanafanaye na mzigo usha oa tyr😇