Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Aisee ndugu naomba nijitoe kwa heshima yakoNdugu yangu nasikia tupo kwenye hichi kinyang'anyiro
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee ndugu naomba nijitoe kwa heshima yakoNdugu yangu nasikia tupo kwenye hichi kinyang'anyiro
Sio mwakani tena mkuuMpaka saa 6 usiku muda wa mapambano utakuwa umekwisha. Nitatangaza mshindi.
Tatizo wewe mbabe saana dah
Ahahaha lazima nije nikutangaze uku ukiwa mshindi
Hahahaha kumbe wewe mkorofi. Nimekupunguzia marks. Yaani uniombe msamaha atlest nkupigie debe kwa huyu mrembo pujo
Umeona eeehNingekuwa jaji pia huyu jamaa anastahili kuwa mshindi
Hapana mkuu kwa undugu wetu nipo tayari kujitoa mimi ila nikuone ndugu yangu umevuta jiko.
Asante ndugu mjumbe (Judge)
Mie sio muumini wa Mlengo huo..!!Hahahahaha amefanya kweli, embu mchallenge tuone
Au amekupiga chenga ya mwili
😂😂😂Hahahaha kumbe wewe mkorofi. Nimekupunguzia marks. Yaani uniombe msamaha atlest nkupigie debe kwa huyu mrembo pujo
Sent using Jamii Forums mobile app
Si heshima kukaa meza moja na wakubwa ..natangaza kujitoa rasmi kwa ajili yako mkubwa wa kaziHapana mkuu kwa undugu wetu nipo tayari kujitoa mimi ila nikuone ndugu yangu umevuta jiko.
Mkuu mbona umekimbia shindano while unaongoza kwa ball possessition
Mie sio muumini wa Mlengo huo..!!
Nipo kama mpenzi mtazamaji bila maslahi binafsi..
Imani yangu nawe Unawatakia michuano mema wote walioingia kwenye mbio hzi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu kwa undugu wetu nipo tayari kujitoa mimi ila nikuone ndugu yangu umevuta jiko.
Daima Simpingi Kichwa KichafuMkuu mbona umekimbia shindano while unaongoza kwa ball possessition
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana aisee nitabaki na deni kubwa sana.Si heshima kukaa meza moja na wakubwa ..natangaza kujitoa rasmi kwa ajili yako mkubwa wa kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha ww hauna mkuuMmh, hiyo namba 14 labda upate mchunguji aliye iva sana..
Ila umetisha subiri wanakuja
Sent using Jamii Forums mobile app