Nimechelewa kuuona Uzi wako lakini nimeona mchanganuo mzuri, nami nimeamua kuuchukulia serious, nimefanya kama NECTA.
MAJIBU YANGU
1) Awe na kitambi, ila sio cha pombe. (Mnene)
-Ninacho kidogo cha kitimoto (sinywi pombe) ( 1 Mark)
2)Awe na miaka 29/30
- Nipo nayo ( 1 Mark)
3)Jina lake lianzie na herufi E au F
-Jina la pili linaanza na E [emoji3526](0.5 Mark)
4)Awe amezaliwa August, may, june, July,October
- July ( 1 Mark)
5)Asiwe mkurya, msukuma, muhehe, mluguru, mpogoro, mchaga, Msafwa, mnyakyusa, mrangi wala mnyaturu na mngoni.
-Siyo kati ya Hayo ( 1 Mark)
6) Awe na ndevu za O
- Yes ( 1 Mark)
7)Awe na sura yoyote tu
-Sura ninayo ( 1 Mark)
8)Awe mweusi
- Yes ( 1 Mark)
9)Asiwe dodoma, iringa, Kilimanjaro, moshi, mtwara, tabora, singida, mwanza, arusha, Morogoro, Simiyu, tanga, mbeya, kigoma.
-Sipo huko ( 1 Mark)
10) Asiwe single father
-Sina mtoto ( 1 Mark)
11)Awe tayari kunipeleka kwake kama anajitegemea
- Yes ( 1 Mark)
12)Awe tayari kuwa kwenye urafiki miezi 3, alafu ndiyo kuwa mpenzi
- Yes ( 1 Mark)
13)Awe na sifa ya kushare simu zetu. Yake niishike yangu niishike.
-Yes ( 1 Mark)
14) Awe ni mwenye kwenda kanisani kila wakati hasa hasa jumapili (RC). Avijue vifungu vyote vya biblia.
-Wazazi wangu wote RC, kuhamia huko sio tatizo(mie Lutheran), Biblia naijua, vifungu nitavikariri tu. [emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
(0.5 Mark)
15)Awe anapenda utani
- Big Yessssss [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] ( 1 Mark)
16) Awe na kazi ya kujitosheleza haswa
- Yes ( 1 Mark)
17)Ambaye ana uvumilivu ata wa kupata papuchi baada ya mwaka.
- Yes (hata tusubiri hadi ndoa poa tu) [emoji3526]. ( 1 Mark)
18) Awe na damu group O
- B+ (Bi mkubwa O) [emoji4] (0.5 Mark)
19) Awe mstaarabu na mpenda maendeleo. Mpole na mwenye kujiheshimu.
-Yes ( 1 Mark)
20)Asiwe amechangia uzi wa kula tunda kimasihara wala za kuwaaibisha wanawake. Asiwe na mazoea na mautani na mdada yoyote wa umu.
-Huo uzi sijawahi hata kuusoma kabisaa, I just scroll down to skip it. (Nenda kaangalie huwezi kuta komenti yangu)
- Sina mazoea na mdada yeyote, I swear [emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488] ( 1 Mark)
21) ID yake iwe ni ya miaka mirefu from 2017 kushuka chini. Wewe wa 2018 kwenda mbele upumzike ulale kidogo.
-Yes.( 1 Mark)
SCORE : 19.5/21 (92.85%)
I came very close to the perfect score of 21
Wachache wanaweza kupata hivi
Siji "pm" hadi unipe "go ahead"
Sent using
Jamii Forums mobile app