Ahahahaha umekosa kabisaaPoor me..
Nimeambulia sifa moja tu ya weusi. Ambayo nayo naona imekithili maana mimi sio mweusi, ni mweusiiiii.... so nadhani sina sifa hata moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama, tatizo hajafikia asilimia mia huyoo.Nimejaribu kusoma comments karibia zote
Nadiriki kusema huyu anapaswa kupewa ushindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahah haya sasa Usher-smith mpingaji ametokea. Itabd umjibu kwa kina hayo maswali yake.[emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa ni mjanja sana. Toka lini mwanafunzi akajisahihishia pepa lake mwenyewe.
Nikiwa kama baharia mwandamizi napingana na icho ulichoandika. Kwanza si jambo la kujipongeza kuwa na mavigezo hayo ya hovyo. ( Yani papuchi paka ndoa?? Si itaota kutu[emoji23][emoji23][emoji23] Labda km utakuwa na matatizo flani ama wale wa upande wa pili..
Anyway. Umejipa ' A ' kwny written. Sasa twende kwny Oral.
Swali..
Kwann paka sasa uko singo...
Mahusiano yako huwa yanakuwa ya namna gan..
Jeh utapenda kutupatia namba zako3 ulizohakiki kwa Alama za vidole ili tuweze kuchunguza mawasiliano yako toka mwezi wa 6 mwaka jana ?
Mleta mada. Akiwa tayali kwa haya nashauri mpe tu iyo Papuchi. Na mchango tutatoa..
Ila huyu amejitahidi sanaaaa. Kwa kweli nimpe hongera zake. Lkn ss kuna asilimia vichache vichache hakutimizaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahahahahah huyo kaka sumbai hajampa ushindi ss
Umri ukisogea sogea ukaanza kutafuta mwanaume yeyote unistue nikuunganishe na jamaa yangu ni dereva hapa town, anaendesha mikokoteni pale sokoni TemekePoleni na corona. Acha leo na mie nije na vigezo vyangu vya kutafuta mwenza. Baada ya watu wengi kunivutia wakileta mirejesho ahahaha
Sifa ya mwanaume anayehitajika.
1) Awe na kitambi, ila sio cha pombe. (Mnene)
2)Awe na miaka 29/30
3)Jina lake lianzie na herufi E au F
4)Awe amezaliwa August, may, june, July,October
5)Asiwe mkurya, msukuma, muhehe, mluguru, mpogoro, mchaga, Msafwa, mnyakyusa, mrangi wala mnyaturu na mngoni.
6) Awe na ndevu za O
7)Awe na sura yoyote tu
8)Awe mweusi
9)Asiwe dodoma, iringa, Kilimanjaro, moshi, mtwara, tabora, singida, mwanza, arusha, Morogoro, Simiyu, tanga, mbeya, kigoma.
10) Asiwe single father
11)Awe tayari kunipeleka kwake kama anajitegemea
12)Awe tayari kuwa kwenye urafiki miezi 3, alafu ndiyo kuwa mpenzi
13)Awe na sifa ya kushare simu zetu. Yake niishike yangu niishike.
14) Awe ni mwenye kwenda kanisani kila wakati hasa hasa jumapili (RC). Avijue vifungu vyote vya biblia
15)Awe anapenda utani
16) Awe na kazi ya kujitosheleza haswa
17)Ambaye ana uvumilivu ata wa kupata papuchi baada ya mwaka.
18) Awe na damu group O
19) Awe mstaarabu na mpenda maendeleo. Mpole na mwenye kujiheshimu.
20)Asiwe amechangia uzi wa kula tunda
kimasihara wala za kuwaaibisha wanawake. Asiwe na mazoea na mautani na mdada yoyote wa umu.
21) ID yake iwe ni ya miaka mirefu from 2017 kushuka chini. Wewe wa 2018 kwenda mbele upumzike ulale kidogo.
Sifa zangu
Atazipata taratibuuuuu. Ila ni mschana mbichiiii
Uje kama una izo sifa na haijapungua ata moja.
Ahahahahaha nashangaa watu sifa zao za mtu kuwa na kazi tu pamoja na umri. Hivi ndio vigezo sasa. (Nitaleta mrejesho ili watu muendelee kupata moyo wa kutafuta wenza kupitia jukwaa ili. Kama mimi nilivyopewa moyo na watu mbali mbali......
Umenibadilisha mama..!!!Ahahaha ila wewe hutaki kuoa. Unafikiri nitakuweza mimi?.
Ahahaha umri bado bado unasoma mkuuUmri ukisogea sogea ukaanza kutafuta mwanaume yeyote unistue nikuunganishe na jamaa yangu ni dereva hapa town, anaendesha mikokoteni pale sokoni Temeke
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisanda mapema mkuu labda uniambie umefikia wapi huko pmNipe update ndugu ua lilikimbia jumla?
Pm hata kuingia sikuruhusiwa ndugu😂
Hii inamana ya kwake isiguswe na huyo mwenzakeAhahahah kwanini mkuu?. Hiyo namba Huiwezi?
Hapa ni huruma yako si kingine😂Ahahah muambie huyoo
Dereva umeangusha gari ila unaweza ukakata rufaa kama hujaridhika na majibu ya Mara ya kwanzaPm hata kuingia sikuruhusiwa ndugu[emoji23]
Sema ukweli mods wanakuona ,mliishia wapi na Kichwa KichafuAhahah muambie huyoo