Mwenza bora anahitajika

Hakuna mshindi kwa kweli. Ahahaha mana hakuna mwenye hizo sifa. Ata mie najua hakuna mwenye hizo sifa. Na shindano limefungwa mana limepita muda wake ahahahhh.
Nimekubali matokeo.
I like your attitude and personality.
In the future, ukiwa na shindano lingine usisahau kunitagi.
Kwa Sasa Acha nifanyie kazi mapungufu yangu, bado ninaimani ipo siku nitashinda tu. [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

MAJIBU

1)Kwann paka sasa uko singo...

--Nilimtambulisha msichana nyumbani (tulikiwa tumeshibana kweli) , aliniacha kwa sababu ya "long distance relationship". Baada ya hapo sijapata bahati ya kuwa na "real committed relationship"
ya muda mrefu.

2)Mahusiano yako huwa yanakuwa ya namna gan..

--Ya kawaida tu, urafiki na ucheshi, sina wivu wa kijinga, simpi presha mpenzi wangu afanye vitu ambavyo "she is not comfortable with"

3)Jeh utapenda kutupatia namba zako3 ulizohakiki kwa Alama za vidole ili tuweze kuchunguza mawasiliano yako toka mwezi wa 6 mwaka jana ?

--Yes I'm happy to , 1. VODACOM for mawasiliano
2. VODACOM for Internet 3.TTCL for Internet


-->Mleta mada. Akiwa tayari kwa haya nashauri mpe tu iyo Papuchi. Na mchango tutatoa..

--Hitaji langu sio papuchi, Hitaji langu ni kuwa mwenza bora wa binti pujo



Sent using Jamii Forums mobile app
 


Vigezo vyote ninavyo ila umenifukuza kusema eti niwe ninakwenda Kanisani, for what? Mimi hizi dini za maboti na mimi ni vitu viwili tofauti kabisa, Qur'an na Biblia inatuua waafrika mpaka tumekuwa wapumbavu. Utashabikiaje dini za watu zisizo na mashiko yoyote maishani mwetu? Najitoa, tafuta mafala wasiojitambua na washabikiao dini za watu.
 
Mkuu muda umekwisha wa hio fursa lkin ahaha
 
Ahahahah kwa jinsi unavyochanganua majibu. Dah hongera sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…