Mwenza bora anahitajika

Ahahaha huoni wenzio wanaleta mrejesho uko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ule uzi wa kula tunda kimasihara umekukosesha mke umeanza povu[emoji23][emoji23]

Ule uzi haujawai kumwacha mtu salama aise
Ahahah kabisa, haujawahi kumuacha mtu salama.
 
Yaani pujo amenifurahisha sana, ila nahisi ameamua kuchangamsha jukwaa tu[emoji3]
Ahahahaha nimecheka watu wanavyopanic. Wakati wanatakiwa wakiwa na vigezo waje tu pm. Lkn eti hawataki vigezo ni vingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…