Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahah jaribu jaribu tenaaaaKila nikijaribu pm yako inagoma mkuu ...Fanya kama unanipm tuyajenge tukiwa sehemu tulivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama zipi mfanaoWana shida sana. Tabia zao tuu
Balaa tena wakati umeandika ndiyo unaowataka?!!Hayo majina ni balaa
We mjinga nini, hujaitwa kuja kucomment apa. Povu lote ilo umefanywa nini?. Kama huna cha kucomment si ungepita tu?. Labda wewe ndiyo umefumuliwa then unakasirika. Shaabash wewe. Kamwambie aliekufumua usiletee bangi zako apa.Kwa uzi wako tu, wewe ni kahaba mbobevu na ulishafumuliwa hata marinda. Pambana na waliokubikiri.
Bila kuwasahau kina FrankKina E na F mnaitwa huku...
Fadhili
Felix
Faustino
Erick ...vitombist hawa utajuta wewe
Elisha
Eliya
Emmanuel...wapole. Wazinzi wa chini kwa chini
Enock
Ebenezer
Ezra etc
Haha nilimsahau ila kina Frank wapole
Nimesoma hizo sifa mara tano hakika sina sifa hata moja hapo.Usikate tamaa mkuu ahahaha
Hahah Mbona mnasema ni ma silent killerHaha nilimsahau ila kina Frank wapole
Mkuu, wewe watu wa kabila lako hauwataki. Unataka wawaoe wakina nani ?Poleni na corona. Acha leo na mie nije na vigezo vyangu vya kutafuta mwenza. Baada ya watu wengi kunivutia wakileta mirejesho ahahaha
Sifa ya mwanaume anayehitajika.
1) Awe na kitambi, ila sio cha pombe. (Mnene)
2)Awe na miaka 29/30
3)Jina lake lianzie na herufi E au F
4)Awe amezaliwa August, may, june, July,October
5)Asiwe mkurya, msukuma, muhehe, mluguru, mpogoro, mchaga, Msafwa, mnyakyusa, mrangi wala mnyaturu na mngoni.
6) Awe na ndevu za O
7)Awe na sura yoyote tu
8)Awe mweusi
9)Asiwe dodoma, iringa, Kilimanjaro, moshi, mtwara, tabora, singida, mwanza, arusha, Morogoro, Simiyu, tanga, mbeya, kigoma.
10) Asiwe single father
11)Awe tayari kunipeleka kwake kama anajitegemea
12)Awe tayari kuwa kwenye urafiki miezi 3, alafu ndiyo kuwa mpenzi
13)Awe na sifa ya kushare simu zetu. Yake niishike yangu niishike.
14) Awe ni mwenye kwenda kanisani kila wakati hasa hasa jumapili (RC). Avijue vifungu vyote vya biblia
15)Awe anapenda utani
16) Awe na kazi ya kujitosheleza haswa
17)Ambaye ana uvumilivu ata wa kupata papuchi baada ya mwaka.
18) Awe na damu group O
19) Awe mstaarabu na mpenda maendeleo. Mpole na mwenye kujiheshimu.
20)Asiwe amechangia uzi wa kula tunda
kimasihara wala za kuwaaibisha wanawake. Asiwe na mazoea na mautani na mdada yoyote wa umu.
21) ID yake iwe ni ya miaka mirefu from 2017 kushuka chini. Wewe wa 2018 kwenda mbele upumzike ulale kidogo.
Sifa zangu
Atazipata taratibuuuuu. Ila ni mschana mbichiiii
Uje kama una izo sifa na haijapungua ata moja.
Ahahahahaha nashangaa watu sifa zao za mtu kuwa na kazi tu pamoja na umri. Hivi ndio vigezo sasa. (Nitaleta mrejesho ili watu muendelee kupata moyo wa kutafuta wenza kupitia jukwaa ili. Kama mimi nilivyopewa moyo na watu mbali mbali......
The Most Winner
Usijali, wakitokea. Lazima nikuite uwafanyie usahili. Mana najua huwezi nichagulia mtu mwenye tabia mbaya ahahahMashart nafuu saana. Hayo ungeweka la pesa.
Naomba watahiniwa niwafanyie intavyuu
Sent using Jamii Forums mobile app