Mwenza bora anahitajika

Mwenza bora anahitajika

Hauwezi kumjua mtu tabia zake mkikutana mtandaoni na hata muonekano wake..
Ni vizuri ukimuona mtaani au ana kwa ana itakusaidia kujua vitu vingi kumuhusu yeye.
Au mnaogopa kutongoza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi wa mtaani ata kwa mbinde siwezi kuwa na mahusiano naye. Lazima nitakayekuwa na mahusiano naye awe mbali na ninapoishi mie.
 
Sio lazima wote tupende kwa kuangalia tabia ya mtu au muonekano wake...

Huku tunapenda kwa kuangalia maandishi hayo mengine tumewaachia nyie wa mtaani

Kutongoza mtaani kweli tunaogopa kama wewe unavyoogopa kutongoza mtandaoni
Mie wa mtaani kwa kweli siwezi. Ata aje na lugha ghani
 
Sijajua kwa mademu wengine.
Ila wangu whatsapp kamaliza.
Hana muda wa facebook,instagram .
na akiniona naandika kitu jamii forum ananiuliza una chat na nani?.
Haijui

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka kutuambia sie wa mitandaoni hatutaolewa?. Afu tuna tabia mbaya kweli?. Then huyo manzi wako ndiyo kifaa chenye tabia njema?.
 
Back
Top Bottom